USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: KUWA MTU WA SHUKURANI.
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Pamoja na hali uliyonayo sasa hivi yaani hujafikia malengo yako kwa kiasi kikubwa bado una mengi ya…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: DUNIA INAKUTAZAMA.
Wakati unaanza ulianza kwa mbwembwe na kelele nyingi, ulipenda kila mmoja ajue kwamba unaanza biashara au kipaji chako. Kuna waliokupinga, waliokukatisha tamaa, waliokutia moy…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI- UNASUKUMWA NA NINI KUFANYA UNACHOKIFANYA?
Habari rafiki, siku yako umeianzaje? Hakikisha unasali, unasoma kitabu, unapitia maono na malengo yako na unafanya mazoezi. Hii itakufanya uwe na siku bora yenye uzalishaji.…
-
October 2, 2017
LEO NDIO SIKU PEKEE UNAYOWEZA KUITUMIA.
Habari rafiki yangu. Umeanzaje wiki yako? Hakuna mtu mwenye siku Zaidi ya moja yaani wote tunaishi kwa siku moja ambayo imebeba masaa 24. Kwa wanoweza kuitumia…
-
October 2, 2017
SEHEMU 4 UNAZOTAKIWA UWE BORA KILA SIKU ILI UISHI KWA FURAHA.
Mojawapo ya sehemu ambayo utakosea ni kusahau sehemu hizi nne za muhimu kwenye maisha yako ambazo unatakiwa uwe bora kila siku. Unajua ili uweze kuwa na…
-
October 2, 2017
JINSI YA KUISHI LEO YENYE MAFANIKIO
Iwapo ukiambiwa kesho ndio itakuwa ni siku yako ya mwisho hapa duniani unafikiri ni vitu gani hasa ungevifanya leo? Embu viandike vitu hivyo basi uwe unavifanya…
-
October 2, 2017
KWANINI USOME KITABU CHA SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO? (Maoni ya Wasomaji)
Habri rafiki, ni furaha yangu kuona bado unaendelea kufuatilia mtandao huu ili kujifunza. Nikupongeze kwa bidi yako hii katika kujifunza ipo siku itakuletea matunda. Ni kama…
-
October 2, 2017
HATUA YA 244: Tenda Wema Nenda Zako.
Ubinafsi ni kile kitendo cha kutaka kupata wewe peke yako na wengine wakose. Kitendo cha kutokujali wengine na kujifikiria wewe mwenyewe. Kujitoa kwa ajili ya wengine…
-
October 2, 2017
HATUA YA 243: Ukichunguza sana Hutafanya.
Kama kuna kitu umeamua kukifanya unachotakiwa ni kuchukua hatua sasa na kuanza. Mara nyingi wengi wanasema nitaanza tu, lakini baada ya muda ukimuuliza vipi ile biashara…
-
October 2, 2017
HATUA YA 241: Tukio la SIku Moja.
Ni kweli tukio la siku moja linaweza kubadilisha sura ya maisha yako kabisa yalivyo kuwa kwenda kwenye historia nyingine. Tukio hili la siku moja linaweza kuwa…
-
October 2, 2017
HATUA YA 240: Tatizo Lipo Ndani Yako.
Nimekutana na watu wenye uwezo mdogo, wana kiwango kidogo lakini wanafanya mambo makubwa sana. Wapo ambao hawana elimu kubwa uliyonayo wewe lakini wamefika mbali sana. Kuna…
-
October 2, 2017
HATUA YA 239: UKipewa Nafasi Ya Kurudi Nyuma Utarekebisha Wapi?
Swali moja ambalo napenda kuwauliza watu ambao wako mbele Zaidi yangu kwenye mafanikio katika Nyanja zote, kiafya, kiroho, kimahusiano na pia kifedha au kwenye biashara ni…
