USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: UTAONDOKA PEKE YAKO.
Habari rafiki. Kitu ambacho hupaswi kukisahau ni kwamba hapa duniani ipo siku utaondoka. Na kitu cha kukumbuka Zaidi ni kwamba utaondoka peke yako. Wale wote uliokuwa…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: JIPE MUDA.
Habari Rafiki. Chochote unachokifanya sasa hivi kabla hujaanza kukata tamaa hakikisha umejipa muda wa kutosha. Jipe muda ambao utafanya kazi kwa bidi, utajenga mtandao mkubwa…
-
October 2, 2017
USIISHIE NJIANI: USIJIDANGANYE.
Habari rafik Mfano unajua kabisa yale ambayo unayafanya hayawezi kukuletea matokeo ya tofauti kwasababu ni yaleyale, njia ni zilezile, halafu unajitia moyo kwamba ipo siku uta…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: HOFU YA KUTOKUJUA.
Habari rafiki, siku yako umeanzaje. Siku zote mtu anakosa ujasiri hasa pale anapokuwa na taarifa chache kwenye kile anachokifanya. Mfano unaweza kuogopa kuanza biashara kwasab…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: ANZA KUONA NDANI YAKO.
Habari rafiki yangu, Siku yako umeanzaj Hakuna kitu utakachokipata kama hujaanza kukiona ndani yako. vitu vyote vinavyotokea nje lazima vinaanzia ndani. Ukiwa na mawazo ya kup…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA.
Habari rafiki, umeanzaje siku yako. Leo ni siku yetu mpya kwa ajili ya uzalishaji. Kuna watu wana tabia za kuacha kufanya mambo yao, hawaweki mipango yeyote…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: Tarajia Makubwa
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kile unachokitarajia ndio kinatokea kwenye Maisha yako. hii ni sharia ya asili ambayo inaongoza maisah ye…
-
October 2, 2017
USIISHIE NJIANI: Siri Ya Mafanikio (Hakuna Mwendokasi)
Kitu chochote kinachopatikana haraka hasa kitu kikubwa sana mara nyingi yule anaekipata hushindwa kukihimili. Hasa tukiangalia upande wa fedha na utajiri tunaweza kuwa na mifa…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: VIGEZO NA MASHARTI
Habari ya asubuhi Mwanamafanikio. Tumeanza tena wiki siku ya leo. Hakikisha umeipanga wiki yako ili uweze kuwa na matokeo bora. Jua ni vitu gani unakwenda kukamilisha…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: UNATAKA KUJA KUWA NANI?
Habari za Asubuhi Rafiki. Hili swali kama unakumbuka ulikuwa unaulizwa ukiwa mdogo. Na mara nyingi watu wengi walikuwa wanachagua vitu ambavyo wataweza kuvisomea chou kikuu. S…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: TAFUTA UTAMBULISHO WAKO.
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kitu gani kinakutambulisha hapa duniani? Kama mpaka sasa unashindwa kujibu swali hili unahitaji msaada wa…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: BINADAMU NDIVYO WALIVYO.
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kama utakumbuka ulipokuwa mtoto mdogo kuna mambo kutokana na utoto wako ulikuwa unapenda kujaribu sana. K…
