USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 2, 2017
HATUA YA 238: Kwanini Usifanye Maamuzi Hisia Zikiwa Juu?
Kuna aina nyingi za hisia kama hisia za hasira, furaha, hamasa, chuki, na nyinginezo unazozijua. Hisia zote hizi unaweza kuzigawa katika makundi mawili ili uelewe vizuri…
-
September 27, 2017
USIISHIE NJIANI: SIO KWAMBA HUWEZI,
Kuna watu huwa unaogopa kwasababu wanakufahamu kama mtu Fulani mkubwa hivi sasa unaogopa kufanya kazi ambazo unahisi kwamba zitakuwa zinakushushia hadhi? Nilikuwa na rafiki ya…
-
September 21, 2017
NILIYOJIFUNZA KUTOKA KWENYE KITABU CHA “THE ART OF MONEY GETTING”
Habari Rafiki Karibu kwenye blogu hii tujifunze pamoja mambo haya NILIYOJIFUNZA KUTOKA KWENYE KITABU. Mwandishi P. T. Barnum anazungumzia namna ya kutengeneza uchumi wetu bina…
-
September 15, 2017
MAMBO 5 NILIYOJIFUNZA LEO.-3
Habari Rafiki unaendeleaje na safari ya mafanikio? Maisha ni kupambana, katika zama zote wanadamu wenzetu wamekuwa wanafanya kazi na kupata matokeo ya kazi. Kila unachokifanyi…
-
September 4, 2017
(Audio) UNAGUSAJE MAISHA YA WENGINE?-
Habari rafiki, Leo kwenye kipindi chetu cha USIISHIE NJIANI nimekuandalia somo hili katika audio download hapo chini.
-
August 15, 2017
MAMBO 5 NILIYOJIFUNZA LEO.2
Habari rafiki karibu tena siku ya leo tujifunze kwa pamoja mambo matano niliyojifunza siku ya leo. Nina amini unaendelea vyema na mafanikio. Hatuongozwi na msukumo wa…
-
July 16, 2017
UJUMBE WANGU KWAKO KIJANA MWENZANGU
Vijana ndio tegemeo kubwa katika sehemu mbalimbali za kijamii, kidini, n ahata pia kisiasa. Kwenye serikali tuna maaskari polisi wengi ambao ni vijana pamoja na wanajeshi.…
-
June 15, 2017
MAMBO MATANO NILIYOJIFUNZA LEO. 1
Habari za Leo Rafiki yangu. Unaendelea kufanya kile ulichoamua kukifanya? Umeshatambua ni kwanini upo hai Leo? Mungu hajakuacha bahati mbaya. Sio kwasababu wewe ni mwema sana…
-
May 20, 2017
SIMAMIA UNACHOKIAMINI
Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiweke…
-
May 14, 2017
USITAZAME LEO
Leo vita ni vingi sana, Leo hakuna mavuno bado. Leo wanakusema wengi Leo inaonekana kama ni ngumu sana. Leo inaonekana kama utakwenda kushindwa. Leo inakatisha tamaa…
-
April 6, 2017
Mambo 9 ya Kufanya ili Uishi Maisha yenye Furaha Siku Zote.
Habari ya leo rafiki yangu na msomaji wa Makala hizi. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari ya mafanikio. Katika Makala yetu leo nitakwenda kukushirikisha…
-
March 29, 2017
UPO TAYARI KUACHA ALAMA GANI?
#SIRI_7Siku moja nilijiuliza swali Nikiweza kutimiza ndoto yangu ya gari aina ya BMW X6 baada ya hapo nikaambiwa nimebakiza masaa machache nife nitafurahia? Nikajiuliza…
