USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 7, 2017
HATUA YA 249: Kwanini Unahitaji Watu wote? (Wanaokupenda na Wasiokupenda)
#SITAISHIA_NJIANI ✈-Napiga hatua kuelekea mafanikio yangu. ❗-Navumilia kila hali na changamoto nitakayopitia njiani. ?-Najifunza kila siku na kuweka kwenye matendo yale ninayo…
-
October 6, 2017
HATUA YA 248: Unaambatana na Nani?
Ni bora mara elfu kukaa ndani peke yako kuliko kuambatana na marafiki wapumbavu. Ni bora kuishi ndani ya nyumba peke yako kuliko kujichanganya na makundi yasiyofaa.…
-
October 5, 2017
#USIISHIE_NJIANI: KAULI ZA KUJISEMESHA ASUBUHI ILI USIISHIE NJIANI.
Unavyoanza siku yako ndivyo inakwenda kuwa siku nzima. Kama ulianza kwa kugombana na wengine basi ujue siku yako yote itakuwa ni ya kukosana na wengine. Inawezekana…
-
October 4, 2017
HATUA YA 247: Watu Wanapenda Hali Walizozizoea.
Unajua ni kwanini watu hawapati mabadiliko kwenye maisha yao? Au wakianza jambo Fulani baada ya muda mfupi wataacha na kurejea katika hali ile ya kawaida? Inawezekana…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: UTAKULA MATUNDA YA KINYWA CHAKO.
Habari rafiki. Utakula matunda ya kile unachokizungumza kwenye midomo yako. kile unachojinenea kila wakati ndio utakula matunda yake. Hakuna jambo ambalo unazungumza lisitokee…
-
October 3, 2017
HATUA YA 246: Ukweli Unauma.
Ukitaka watu wakuchukie waambie ukweli. Ukitaka kupingwa na kila mtu simamia ukweli. Ukitaka kupata wafuasi wachache wewe simamia ukweli wale wanaopenda kudanganywa wataona hu…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: Kuna cha Kujifunza?
Kwa lolote lile ambalo unapitia kwenye maisha yako sasa hivi. Liwe zuri au liwe baya ni vyema kuwa na muda wa kujiuliza swali kwa yote hayo…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: Hali Mbaya Uliyonayo Inasababishwa na Hiki
Leo jioni nikiwa nazishika ndevu zangu ghafla katika fikra yakanijia maneno ambayo niliambiwa miaka karibia kumi iliyopita. Kuna mtu mmoja aliniambia “wewe ukiwa na ndevu utak…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: MAMBO YA KUZINGATIA ILI USIISHIE NJIANI.
Furahia kila wakati unaopitia lakini usijisahau kuwa upo safarini. Unapokuwa safarini tena kwenye safari hii ya maisha kuna mengi utakutana nayo njiani usikubali kubakia sehem…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: Wewe Sio Mti.
Mti unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayasababishi mti usitawi unakuwa hauna namna yeyote ya kubadilisha mazingira yale ili uendelee kukua. Mara nyingi kinachotokea baada ya…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI- Jawabu la Unachokitaka ni Hili hapa.
Penda kujipa muda wa kusubiri matokeo unayoyataka wakati unayafanyia kazi. Bahati mbaya hatuna kipimo maalumu cha muda ili uwe na uhakika wa unachokisubiria. Kama mwanamke ame…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI- Kujionyesha na Uhalisia.
Haina maana yeyote kama watu watajenga picha kubwa kwako kutokana na namna unavyopenda kujionyesha halafu uhalisia ukawa ni tofauti kabisa. Ni vizuri sana ukaishi vile unavyop…
