MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 20, 2019
451; #USIISHIENJIANI LEO: Ndoto Yako Inawezekana.
Jaribu kuvuta picha sasa hivi, upo nyumbani kwenu na hali yako ya kimaisha ni ngumu. Mfukoni huna hata tsh elfu tano, ghafla unapokea simu kwamba maombi…
-
February 19, 2019
450; USIISHIENJIANI LEO: Kuogopwa na Kupendwa.
“No one loves the man whom he fears.” -Aristotle Hakuna anaempenda mtu anaemuogopa. Kuna tofauti kubwa ya mtu kukupenda na mtu kukuogopa. Mtu akikuogopa anaweza ku…
-
February 9, 2019
SURA YA 441; Kuchunga Kondoo Ni Darasa.
Kuna vitu huwezi kuvijua mapema kwasababu ukivijua mapema utashindwa kuwa mnyenyekevu katika sehemu uliyopo sasa. Kule mahali Mungu anataka ufike wakati mwingine hatakuonesha…
-
February 5, 2019
SURA YA 440: Usichanganye na Maji.
Miaka kama 10 iliyopita Kulikuwa na bibi mmoja kijijini kwetu alikuwa anauza maziwa fresh. Maziwa yake yalikuwa ni matamu sana na pia masafi hivyo kusababisha watu…
-
January 28, 2019
SURA YA 439; Tabia 6 za Kuacha Mara Moja Ili Usonge Mbele.
Kupuuza Vitu. Moja ya tabia ambayo nimekuwa naiona kwa watu wengi na ni mbaya san ani kupuuzia vitu. Yaani unaoneshwa kitu na bado hutaki kuchukua hatua…
-
January 26, 2019
SURA YA 438; Sio Kama Unavyofikiri.
Kuna watu ukiwatazama kwenye mitandao ya kijamii unaweza kutengeneza picha Fulani ya Maisha ambayo wanaishi na ukaanza kujiona wewe si kitu kabisa. Ukaanza kuona wewe umeachwa…
-
January 25, 2019
SURA YA 437; Linda Kitu Hiki
Kama watu wangekuwa wananunua vitu kwasababu ya ukubwa au wingi wake basi mawe yangekuwa na thamani kubwa kuliko dhahabu. Hii inamaanisha kuwa haijalishi wewe una uzuri…
-
January 23, 2019
SURA YA 436; Usiwe Kigeugeu.
Ukishajua unachotaka hupaswi tena kuwa na hofu yeyote kwamba itakuaje. Leo unasema unataka hiki kesho ukiona wenzako wamefanya kitu kingine wakapata matokeo ya haraka unataka…
-
January 21, 2019
SURA YA 435; Sio Bahati Mbaya.
Usimcheke mtu kwa hali yeyote anayopitia kwenye maisha yake. Hata kama imechukua muda mrefu usinene mabaya yeyote juu yake. Kuna nyakati unapitia bila kujua, kumbe ni…
-
January 15, 2019
SURA YA 434; Ukifika Katikati Unajikuta Umeshaanza Kingine.
Asilimia kubwa ya watu hupanga malengo mengi wanapoanza mwaka lakini inapofika katikati ya mwaka unawakuta watu wale wale wameshaacha kabisa vile vitu walivyopanga kufanya na…
-
January 14, 2019
SURA YA 433; Ni Matatizo Yako.
Ukisema huna mtaji wa kuanza biashara, hayo ni matatizo yako hakuna anaehusika sio mzazi wala serikali. Ukisema mambo ni magumu kwako hayo pia ni matatizo yako…
-
January 13, 2019
DALILI 7 ZINAZOONESHA KUWA UTAENDELEA KUWA MASKINI.
Wakati tunaendelea na Maisha yetu kila siku ni vyema kutenga muda na kujifanyia tathmini ya Maisha yako kwa ujumla na vile vitu unavyofanya kila siku ili…
