MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 7, 2019
SURA YA 432; Fikiri Chanya Kwa Faida ya Afya Yako.
Unapokuwa mtu wa mawazo hasi unaweza kupita mahali ukawakuta watu wanacheka halafu ukaanza kuhisi kwamba wanakucheka wewe. Pia unaweza kuwakuta mahali watu wanazungumza kisha…
-
January 6, 2019
SURA YA 431; Tai Alievunjwa Mbawa.
Siku Moja Mzee aliekuwa anafuga kuku kwenye Kijiji fulani, alikuwa anapita porini akaokota yai kubwa ambalo hakuelewa ni la Ndege gani. Aliamua kulichukua yai lile na…
-
January 5, 2019
SURA YA 430; Huwezi Kumkwepa Mtu Huyu.
Unaweza kumdanganya kila mtu kadiri ya uwezo wako lakini yupo mtu mmoja ambaye siku zote atakuwa anakutazama na kusikitika kwa kile unachokifanya na mtu huyu ni…
-
January 4, 2019
SURA YA 429; Unaongozwa na Akili Yako, Ikidhoofu Itakuongoza Wapi?
Matendo yetu yote yanaongozwa na akili kama akili zetu zitakuwa hazina afya basi tutakuwa tunapata matokeo mabovu kila wakati. Unaweza kuendelea kulalamika kuwa hupati m…
-
January 3, 2019
SURA YA 428; Ukitegemea Hiki Pekee Utachoka Haraka.
Mwanadamu pekee aliekuwa na akili sana kuliko wanadamu wengine ni Adamu na yeye alipewa uwezo huo kwasababu alikuwa peke yake. Hivyo kwa akili na uwezo aliokuwa…
-
January 2, 2019
SURA YA 427; Njia Rahisi ya Kuwavuta Watu Sahihi Kwako.
Tupo kwenye dunia ambayo ni ngumu sana kumjua mtu kwasababu wengi wamevaa mavazi yanayofunika uhalisia wao. Wamevaa tabia za kuigiza ambazo sio za kweli na wala…
-
January 1, 2019
SURA YA 426; Hii Ndio Sababu Ya Wewe Kuanza Vizuri na Kumaliza Vibaya.
Hongera sana kwa kuona mwaka mpya, nafurahi pia kuona umesoma Makala hii kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2019. Nimekuwa nahudhuria mikesha na matamasha ya kuingia…
-
December 31, 2018
TUSEMEZANE 425; MAMBO 37 YA NILIYOJIFUNZA MWAKA 2018.
Habari Rafiki nimekuwa na utaratibu wa kukuandikia mambo niliyojifunza kila mwaka na mwaka huu hii ndio mojawapo ya mambo ya muhimu kabisa niliyojifunza na ningependa nikushir…
-
December 28, 2018
TUKUMBUSHANE TU JUU YA SUALA ZIMA LA MAGONJWA YA ZINAA.
Habari wapendwa nichukue nafasi hii kuongelea juu ya swala zima la magonjwa ya zinaa. Labda tujiulize Magonjwa ya zinaa ni nini? Magonjwa ya zinaa ni magonjwa…
-
December 28, 2018
TUSEMEZANE 424; Ukimpata Usikubali Aondoke.
Katika Maisha tunakutana na watu wa aina mbalimbali wanaweza kuwa wabaya kwetu na wengine huwa baraka kubwa sana kwenye Maisha yetu. Unaweza kukutana na mtu wa…
-
December 26, 2018
NGUVU MPYA 423; Usikae Hapo Muda Mrefu Sana.
Unaweza kufanya mambo makubwa kwenye Maisha yako na ukashindwa kusogea mbele tena kwasababu moja ya kulewa na yale matokeo. Jambo ambalo tayari umeshalifanya na ukashinda hali…
-
December 25, 2018
NGUVU MPYA 422; Eneza Habari Njema.
Watu wamekuwa ni mashujaa sana wa kueneza habari mbaya kuhusu wengine, imekuwa ni desturi yetu pia kutoa vipaumbele Zaidi kwenye habari mbaya kuliko njema. Wafuatiliaji wa…
