MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 5, 2019
463; USIISHIENJIANI LEO: Usitarajie Shukrani.
“Gratitude is a duty which ought to be paid, but which none have a right to expect.” -Jean-Jacques Rousseau Kushukuru ni wajibu wa kila mtu, Kulingana…
-
March 5, 2019
462; USIISHIENJIANI LEO: Usiwe Mtu wa Aina Hii.
Mithali:26.27 Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe; Naye abingirishaye jiwe litamrudia. Usikubali kuwa mtu anaewatendea wengine mabaya kwasababu huku ni kujitengenezea ubaya j…
-
March 1, 2019
461; Kanuni 3 za Mafanikio Makubwa
Zipo Kanuni tatu ambazo ukiweza kuzifanyia kazi maisha yako lazima yawe na Mafanikio. Kanuni hizo ni: 1.Anza na Ulichonacho. Usiwe mmoja wa wale watu wanaolalamika hawana…
-
February 28, 2019
460; #USIISHIENJIANI LEO: Fursa Huja Katika Sura Tusiyoipenda.
Mara nyingi fursa za kubadilisha maisha yetu huja katika sura ambazo hatuzipendi na wala hazivutii kufanya.Kwasababu watu hupendelea vitu vizuri na vyenye heshima hujikuta wan…
-
February 27, 2019
459; #USIISHIENJIANI LEO: Usiishi Kama Wanavyoishi Sasa.
“Dont live like rich people living currently, live the way they lived before being rich.” Usiishi Kama matajiri wanavyoishi sasa, ishi kama walivyo kuwa wanaishi wakati…
-
February 26, 2019
458; #USIISHIENJIANI LEO: Mafanikio Sio Kustarehe
Kuna watu huchanganya mafanikio na starehe. Unajua kuna tofauti kubwa sana kati ya kustarehe na mtu alie na amani ya moyo baada ya kufanya kile alichozaliwa…
-
February 25, 2019
457; USIISHIENJIANI LEO: Kupanda, Kuhudumia na Kuvuna.
Tumekuwa tunasikia kila upandacho utavuna. Ni kweli ni sahihi kabisa. Ila jiulize hivi ukipanda mahindi shambani ukayaacha huko hadi wakati wa Mavuno utakutana na mahindi kias…
-
February 24, 2019
456; #USIISHIENJIANI LEO: Shilingi Elfu Moja.
Ukiwa na Shilingi elfu moja mfukoni unaweza kuiona ni pesa ndogo sana isiyotosha kufanya kitu chochote cha maendeleo zaidi ya kula tu.Lakini nikwambie kitu cha Ajabu…
-
February 24, 2019
455; #USIISHIENJIANI LEO: Ni Majukumu Yako, Usisubiri Usukumwe.
“Good people do not need laws to tell them to act responsibly, while bad people will find a way around the laws.” -Plato Watu wema hawasubiri…
-
February 24, 2019
454; #USIISHIENJIANI LEO: Chuki Haijengi.
“If you and I are having a single thought of violence or hatred against anyone in the world at this moment, we are contributing to the…
-
February 21, 2019
453; #USIISHIENJIANI LEO: Kufikiri, Unavyoishi, Unavyokula.
“The way you think, the way you behave, the way you eat, can influence your life by 30 to 50 years.” -Deepak Chopra Vile Unavyofikiri, unavyotenda…
-
February 21, 2019
452; #USIISHIENJIANI LEO: Unashindana na nani?
“A creative man is motivated by the desire to achieve, not by the desire to beat others.” -Ayn Rand Mtu mbunifu anahamasishwa na Kutimiza kile alichokipanga…
