MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 11, 2019
486; Makosa Matatu Wanayofanya Wengi Baada ya Kuumizwa Kwenye Mahusiano.
Kwanza nataka ujijengee mtazamo huu kwenye akili yako, tatizo lolote linapotokea kwenye Maisha yako usiwe mwepesi sana kuona wengine ndio wanahusika, anza kuona wewe umehusika…
-
April 4, 2019
483; Unapohisi Kama Mungu Amekuacha
Kumzuia mtoto asitembee mwenyewe kwasababu tu unaogopa ataanguka na ataumia sio kumsaidia ni kumlemaza. Hivyo ndivyo ilivyo katika maisha yetu ya kila siku. Kuna vitu ka…
-
April 3, 2019
482; Mbegu Inayojiotea Yenyewe.
Mti unapopukutisha majani na matunda unaweza kufikiri imepoteza kitu kikubwa sana. Mfano ndege wanapokuja na kula matunda kisha yakaanguka chini yakaoza. Wewe kwa akili zako z…
-
April 2, 2019
480; Tambua Kusudi La Mungu Maishani Mwako.
Unaweza kujikuta unafanya mambo hayaendi kabisa na wala huoni matokeo yake unayoyataka kwasababu upo nje ya kusudi la Mungu. Mungu hajakuumba kwa bahati mbaya ulik…
-
April 1, 2019
479; Kabla Hujakata Tamaa, Jaribu Njia Nyingine.
Kuna Wakati wale uliowatarajia Wakusaidie watakugeuzia Mgongo. Usiogope, Usilaumu, Usilalamike Mtumaini Mungu, na Jaribu Njia Nyingine. Mwaka 2016 nilijitoa muhanga wa kutafut…
-
March 18, 2019
472; Mbinu za Kuweza Kuwa na Furaha Wakati Wote.
Kuna utafiti ulifanyika wa kidunia ukaja na majibu ya nchi zinazoongoza kwa kukosa furaha duniani. Mojawapo ya nchi iliyotajwa ilikuwa ni nchi ya Tanzania, kwasababu mimi…
-
March 18, 2019
470;USHAURI: MUONDOE CHUMA ULETE HUYU KWENYE PESA ZAKO.
Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu waishi maisha ya magumu sana hapa duniani ni kukosa namna bora ya kupangilia na kuendesha maisha yao. Kingine ni kwamba wengi…
-
March 17, 2019
468; Watu Sahihi, Watu Wazuri.
Kwenye Maisha tunawahitaji watu sahihi. Watu Sahihi sio lazima wawe Wazuri kwetu wanaweza kuwa watu wabaya lakini ni sahihi. Kusudi la hao watu kwenye maisha yetu…
-
March 15, 2019
467; #usiishienjiani leo: Unajisikiaje Unapofanya kazi Yako?
Ni muhimu sana uweze kujisikiliza na kutambua moyo wako unakwambia nini. Moja ya vitu ambavyo tunakwama ni kushindwa kujisikiliza sisi wenyewe. Unaweza kuwasilikiza wengine la…
-
March 7, 2019
466; #usiishienjiani leo: Ongoza Vyema Fikra Zako.
If you think you are beaten, you are; If you think you dare not, you don’t. If you’d like to win, but you think you can’t,…
-
March 6, 2019
465; #usiishienjiani leo: Kuwa Imara Zaidi.
Chochote unachopitia kwenye maisha yako kama hakijayaondoa maisha yako basi kimekufanya uwe imara zaidi. Tofauti ni kwamba kuna watu badala ya kuwa imara wanakuwa waoga.Umeing…
-
March 5, 2019
464; USIISHIENJIANI LEO : Kuwa Glasi Tupu.
Kati ya glasi iliyo tupu na iliyojaa maji siku zote ile tupu ndio hupata nafasi ya kuwekewa maji mengine. Watu wengi tunapenda Kuonekana tunajua kila kitu.…
