Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 17, 2019
KITABU: Usiishie Njiani, Timiza Ndoto Yako.
Kitabu hiki ni maalumu kwako wewe ambaye unataka ndoto yako itimie. Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye bado hujapata mwelekeo wa Maisha yako. Utapata…
-
March 17, 2019
KITABU; Mbinu 101 za Mafanikio. – Jacob Mushi
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala ninazoandika kila siku za HATUA ZA MAFANIKIO. Nimechambua makala 101 ambazo ukizisoma zinaweza kukupa mbinu na maarifa ya kukuwezesha usong…
-
March 17, 2019
KITABU; Siri 7 za Kuwa Hai Leo
Kitabu hiki nimeandika kwa ajili yako. Kuna mambo mengi sana ya kujifunza ndani ya kitabu hiki na nina imani kitakua ni sababu ya wewe kusogea katika eneo…
-
March 17, 2019
468; Watu Sahihi, Watu Wazuri.
Kwenye Maisha tunawahitaji watu sahihi. Watu Sahihi sio lazima wawe Wazuri kwetu wanaweza kuwa watu wabaya lakini ni sahihi. Kusudi la hao watu kwenye maisha yetu…
-
March 15, 2019
467; #usiishienjiani leo: Unajisikiaje Unapofanya kazi Yako?
Ni muhimu sana uweze kujisikiliza na kutambua moyo wako unakwambia nini. Moja ya vitu ambavyo tunakwama ni kushindwa kujisikiliza sisi wenyewe. Unaweza kuwasilikiza wengine la…
-
March 7, 2019
466; #usiishienjiani leo: Ongoza Vyema Fikra Zako.
If you think you are beaten, you are; If you think you dare not, you don’t. If you’d like to win, but you think you can’t,…
-
March 6, 2019
465; #usiishienjiani leo: Kuwa Imara Zaidi.
Chochote unachopitia kwenye maisha yako kama hakijayaondoa maisha yako basi kimekufanya uwe imara zaidi. Tofauti ni kwamba kuna watu badala ya kuwa imara wanakuwa waoga.Umeing…
-
March 5, 2019
464; USIISHIENJIANI LEO : Kuwa Glasi Tupu.
Kati ya glasi iliyo tupu na iliyojaa maji siku zote ile tupu ndio hupata nafasi ya kuwekewa maji mengine. Watu wengi tunapenda Kuonekana tunajua kila kitu.…
-
March 5, 2019
463; USIISHIENJIANI LEO: Usitarajie Shukrani.
“Gratitude is a duty which ought to be paid, but which none have a right to expect.” -Jean-Jacques Rousseau Kushukuru ni wajibu wa kila mtu, Kulingana…
-
March 5, 2019
462; USIISHIENJIANI LEO: Usiwe Mtu wa Aina Hii.
Mithali:26.27 Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe; Naye abingirishaye jiwe litamrudia. Usikubali kuwa mtu anaewatendea wengine mabaya kwasababu huku ni kujitengenezea ubaya j…
-
March 1, 2019
461; Kanuni 3 za Mafanikio Makubwa
Zipo Kanuni tatu ambazo ukiweza kuzifanyia kazi maisha yako lazima yawe na Mafanikio. Kanuni hizo ni: 1.Anza na Ulichonacho. Usiwe mmoja wa wale watu wanaolalamika hawana…
-
February 28, 2019
460; #USIISHIENJIANI LEO: Fursa Huja Katika Sura Tusiyoipenda.
Mara nyingi fursa za kubadilisha maisha yetu huja katika sura ambazo hatuzipendi na wala hazivutii kufanya.Kwasababu watu hupendelea vitu vizuri na vyenye heshima hujikuta wan…
