Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 26, 2019
477; Sio Yako Hadi Pale Utakapoitoa Kichwani.
“Kuna kipindi Fulani nilisafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kikazi. Nilipofikia kwenye familia moja ambayo ilikuwa inanifahamu. Sikuwa nawafahamu sana watu kwenye ile fa…
-
March 22, 2019
476; Unahitaji Watu Zaidi Kuliko Unavyohitaji Pesa.
Mtu Tajiri kuliko wote duniani kwa haraka haraka ukifikiria unaweza kudhani kilichomfanya akawa Tajiri ni pesa zake au akili zake pekee. Ila ukija kutafakari katika upande…
-
March 20, 2019
475; Huu ndio Ukosoaji Ninaoupenda.
Mwanzoni simu za smartphone zilipoanza kuja kulikuwa na tatizo kubwa la simu hizo kutokukaa na chaji. Baada ya muda sio mrefu wakaja watu wakaleta Power Bank…
-
March 20, 2019
474; USHAURI: Unapofika Wakati Unaona Maisha Yako Hayana Maana wala Thamani Tena.
Nilikuwa napitia maisha ya mwandishi mashuhuri kutoka Brazil, Paulo Coelho aliendika vitabu vingi kikiwemo cha The Alchemist. Mojawapo ya jambo gumu alilowahi kupitia maishani…
-
March 19, 2019
473; Mawazo Ya Mungu Si Kama Ya Mwanadamu.
Kuna namna ambavyo wanadamu tumekuwa tunajaribu kumtafsiri Mungu katika uelewa wetu kitu ambacho tunasahau ni kwamba uelewa wetu bado ni wa kibinadamu. Hivyo kwa vyovyote bado…
-
March 18, 2019
472; Mbinu za Kuweza Kuwa na Furaha Wakati Wote.
Kuna utafiti ulifanyika wa kidunia ukaja na majibu ya nchi zinazoongoza kwa kukosa furaha duniani. Mojawapo ya nchi iliyotajwa ilikuwa ni nchi ya Tanzania, kwasababu mimi…
-
March 18, 2019
471; MAMBO 7 WANAYOFANYA MASKINI LAKINI MATAJIRI HAWAYAFANYI KABISA.
Kinachokufanya uendelee kubaki hapo ulipo ni kwasababu unataka kufanya kile ambacho kila mtu anafanya na atakikubali. Unajua hata ukileta bidhaa yako sokoni ikakubaliwa na kil…
-
March 18, 2019
470;USHAURI: MUONDOE CHUMA ULETE HUYU KWENYE PESA ZAKO.
Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu waishi maisha ya magumu sana hapa duniani ni kukosa namna bora ya kupangilia na kuendesha maisha yao. Kingine ni kwamba wengi…
-
March 18, 2019
Pata GREENHOUSE Kwa bei ya OFa
Kwa mwezi huu wa March na April tunatoa OFA ya Punguzo la ujenzi wa Greenhouse. Ni punguzo la gharama ya ya ujenzi wa Greenhouse. Punguzo la…
-
March 18, 2019
469; UsiishieNjiani: Sio Mhamasishaji ni Wewe.
Katika kazi yetu hii ya kushauri, kutia moyo, na kuhamasisha watu huwa tunakutana na changamoto. Mojawapo ya Changamoto kubwa ni pale mtu anapokuuliza wewe umeshafanya nini…
-
March 17, 2019
KITABU: NUKUU ZA MAISHA.
Nukuu za Maisha (Malengo, Mafanikio, Mahusiano n.k) ni Kitabu kinachokupa muongozo wa maneno ya kutafakari kila siku asubuhi ili uweze kuwa na siku bora na yenye…
-
March 17, 2019
KITABU: MILIKI BIASHARA KUBWA
Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki kubeba mambo mengi mazuri sana, bado inakupasa wewe uwe mch…
