Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 27, 2019
459; #USIISHIENJIANI LEO: Usiishi Kama Wanavyoishi Sasa.
“Dont live like rich people living currently, live the way they lived before being rich.” Usiishi Kama matajiri wanavyoishi sasa, ishi kama walivyo kuwa wanaishi wakati…
-
February 26, 2019
458; #USIISHIENJIANI LEO: Mafanikio Sio Kustarehe
Kuna watu huchanganya mafanikio na starehe. Unajua kuna tofauti kubwa sana kati ya kustarehe na mtu alie na amani ya moyo baada ya kufanya kile alichozaliwa…
-
February 25, 2019
457; USIISHIENJIANI LEO: Kupanda, Kuhudumia na Kuvuna.
Tumekuwa tunasikia kila upandacho utavuna. Ni kweli ni sahihi kabisa. Ila jiulize hivi ukipanda mahindi shambani ukayaacha huko hadi wakati wa Mavuno utakutana na mahindi kias…
-
February 24, 2019
456; #USIISHIENJIANI LEO: Shilingi Elfu Moja.
Ukiwa na Shilingi elfu moja mfukoni unaweza kuiona ni pesa ndogo sana isiyotosha kufanya kitu chochote cha maendeleo zaidi ya kula tu.Lakini nikwambie kitu cha Ajabu…
-
February 24, 2019
455; #USIISHIENJIANI LEO: Ni Majukumu Yako, Usisubiri Usukumwe.
“Good people do not need laws to tell them to act responsibly, while bad people will find a way around the laws.” -Plato Watu wema hawasubiri…
-
February 24, 2019
454; #USIISHIENJIANI LEO: Chuki Haijengi.
“If you and I are having a single thought of violence or hatred against anyone in the world at this moment, we are contributing to the…
-
February 21, 2019
453; #USIISHIENJIANI LEO: Kufikiri, Unavyoishi, Unavyokula.
“The way you think, the way you behave, the way you eat, can influence your life by 30 to 50 years.” -Deepak Chopra Vile Unavyofikiri, unavyotenda…
-
February 21, 2019
452; #USIISHIENJIANI LEO: Unashindana na nani?
“A creative man is motivated by the desire to achieve, not by the desire to beat others.” -Ayn Rand Mtu mbunifu anahamasishwa na Kutimiza kile alichokipanga…
-
February 20, 2019
451; #USIISHIENJIANI LEO: Ndoto Yako Inawezekana.
Jaribu kuvuta picha sasa hivi, upo nyumbani kwenu na hali yako ya kimaisha ni ngumu. Mfukoni huna hata tsh elfu tano, ghafla unapokea simu kwamba maombi…
-
February 19, 2019
450; USIISHIENJIANI LEO: Kuogopwa na Kupendwa.
“No one loves the man whom he fears.” -Aristotle Hakuna anaempenda mtu anaemuogopa. Kuna tofauti kubwa ya mtu kukupenda na mtu kukuogopa. Mtu akikuogopa anaweza ku…
-
February 18, 2019
449; #USIISHIENJIANI LEO: Unakuwa Kile Unachozungumza.
Kuna mstari unasema “Kimtokacho mtu ndicho Kimjazacho” yaani kile unachoongea ndio kimejaa ndani yako. Ili uweze kubadilisha kinachotoka ndani yako anza kubadilisha unachoingi…
-
February 17, 2019
448; #USIISHIENJIANI LEO: Ipo Ndani Ya Uwezo Wako.
There is nothing happens to any person but what was in his power to go through with.-Marcus Aurelius Hakuna kitu kinamtokea mtu ambacho hakipo ndani ya…
