Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
August 23, 2016
JIJENGEE TABIA YA KUJIFUNZA KILA SIKU.
Ili uweze kua na ubunifu na uvumbuzi bora lazima ukubali kujifunza. Lazima uipe akili yako chakula ili iweze kukuzalishia matunda bora. Ili ng’ombe atoe maziwa bora…
-
August 22, 2016
UPO HAI KWA KUSUDI MAALUMU.
“Kijana mmoja alichukua kisu akataka kujiua kutokana na mateso aliyokua anayapitia. Ukweli mateso aliyokua anapitia ukielezwa unaweza kutoa machozi. Siku hiyo aliamua kuchuk…
-
August 21, 2016
Fanyia kazi unayojifunza Ukue
“Knowing Is Not Enough; We Must Apply. Wishing Is Not Enough; We Must Do.”- Johann Wolfgang Von Goethe Kujua tu haitoshi lazima tuingize kwenye vitendo yale…
-
August 19, 2016
Siri ya Unavyoviona haviwezekani.
Mara nyingi tumekua na tabia ya kukimbilia kufanya yale mambo ambayo tunaona ni rahisi kufanyika na pia yanawezekana. Tunajikuta tukikwepa yale mambo magumu yale ambayo yanaon…
-
August 17, 2016
#Siri ya Mafanikio
Chochote Unachokitaka kipo ndani yako. Ili uweze kukipata unaanza kwa kuamini.Unapoamini unakua na uhakika.Imani yako itakua kutokana na matendo yako kila siku juu ya kile uki…
-
August 16, 2016
KESHOKUTWA INAKWENDA KUA NJEMA KWAKO
Maneno mengi uliyoambia tangu ukiwa mdogo kwamba hauwezi, haiwezekani kwenu ni maskini, kwenu wote hawajawahi kufaulu. Ukaonyeshwa hata na watu wako wa karibu kama wajomba mas…
-
August 11, 2016
Jiulize maswali haya Leo.
“I have looked in the mirror every morning and asked myself: ‘If today were the last day of mylife, would I want to do what I…
-
August 9, 2016
UMEFANYA NINI LEO KUTIMIZA ILE NDOTO?
Kila mmoja wetu ana ndoto na maono ndani yake, hata mtu ambaye ni fukara kabisa ana ndoto ya kutoka kwenye umaskini siku moja. Ukubwa wa ndoto…
-
August 8, 2016
USITAZAME NYUMA
Ulikotokea hakuna maana kubwa sana kama unapoelekea, haijalishi una historia ya aina gani bado unaweza kuibadilisha leo. Acha kurudi nyuma na kuangalia kule uliwahi kushindwa,…
-
August 5, 2016
#Kujua Unachokitaka na kukifanyia Kazi
Ili uweze kua na ndoto, maono, malengo, mipango, au chochote kile Unachokitaka kwenye maisha yako. Ni lazima kwanza uanze kujua unataka nin…
-
August 2, 2016
Watu 3 muhimu kua nao kwenye safari ya mafanikio
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu. Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavy…
-
August 1, 2016
Hapa Ndipo Unapokosea.
Haiwezekani wewe unatamani kuja kua Mwimbaji bora wa kimataifa halafu muda wako mwingi ukautumia kufuatilia siasa zaidi. Haiwezekani wewe unatamani kuja kua mfanyabiashara mku…
