Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
July 27, 2016
KUJITETEA NA KUTOA SABABU?
?Vitu vizuri mara nyingi hua vinakuja wakati haupo tayari. Utayari unautengeneza wewe mwenyewe. ➿Wengi bila kujua huishia kujitetea na kutoa sababu nyingi za namna ambavyo haw…
-
July 27, 2016
?Kwanini Pesa hazitoshi?
?Kwanini mshahara haukutani? ?Kwanini kipato hakitoshelezi mahitaji? ?Unalipa kwa watu wengi kuliko unavyo lipwa! ?Unawapelekea watu wengi kuliko wewe unavyoletewa pesa! ?Wewe…
-
July 22, 2016
Jinsi ya kufikia Mafanikio
Goal setting( Weka Malengo),Kua na malengo na hakikisha kila siku unafanyia kazi malengo yako. Malengo haya yalenge: Roho yako, Uchumi, Familia, Mahusiano, Kujiendeleza binafs…
-
July 16, 2016
?Millionaire Mindset Training?
?Millionaire Mindset Training?“You are where you are and what you are because of yourself.Everything you are today, or ever will be in the future, is up…
-
July 16, 2016
CHAGUA WA KUKUSHAURI
Katika Jambo lolote unalotaka kulifanya kwenye dunia hii. Lazima ukutane na watu wa aina tatu. Hata kama unaenda kuuza nyanya leo hawa watu Lazima uwakute. 1.…
-
July 16, 2016
Ukiweza Kupiga hatua hii maisha yako hayatakua ya kawaida.
Katika maisha vipo vitu vingi tunatafuta kila siku. Kwa ajili ya kujifurahisha ni pia kwa malengo tuliyojiwekea. Kuna hatua ambazo ukizifikia maisha yako yanakua ni ya…
-
July 16, 2016
ACHA KUJIFARIJI
Kuna watu hujifariji kua “Mungu ndie ajuae kesho.”Ukweli ni kwamba Mungu sio kesho tu anajua yeye anajua kila kitu hata mwisho. Hata ugonjwa utakao kupata mwezi…
-
July 16, 2016
Tumia Nguvu ya ubongo wako kua Tajiri.
Ubongo wako ndio chanzo cha kila kitu kwenye maisha yako.Unavyopanga kichwani ndio itakavyotokea kwenye matendo. Ukijiona huwezi kumiliki gari kuanzia kwenye akili yako ukaanz…
-
July 16, 2016
?How To Live Your Future?
?How To Live Your Future? ?The greatest enemy of your progress is your last success. ?The past is Danger forget it. It has nothing to do…
-
July 16, 2016
?USHINDI UNAANZIA HAPA.⚡
Millionaire Mindset Training:?Usizungumze vile ulivyo sasa zungumza vile unavyotaka kua. ?Usijiangalie upo kwenye hali gani sasa hivi na kujidharau angalia ndoto zako na malen…
-
July 6, 2016
Uchaguzi.
Neno Uchaguzi linamaanisha vitu vingi lakini mimi nitazungumzia Uchaguzi wa vitu au Uchaguzi bora katika kuelekea maisha yenye mafanikio. Siku zote kwenye Uchaguzi ili uweze k…
-
July 2, 2016
Maneno Yako Yana Nguvu ya Kuumba.
Maneno yale unayojinenea mara kwa mara yanakwenda kutokea kwenye maisha yako. Angalia hasa hali inayoendelea kwenye maisha yako sasa na maneno ambayo unapenda kuongea kuhusu m…
