Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
September 14, 2016
Tabia ya kujifunza na Kusoma vitabu inahusika katika kukuletea mafanikio.
Habari za leo ndugu. Natumaini unaendelea vyema na kupambania kufikia ndoto yako na maisha bora. Tunaendelea na mfululizo wetu wa Makala za tabia. Kwanini tabia? Maisha…
-
September 13, 2016
Tabia ya Kutoa inavyohusika katika mafanikio yako.
Habari za leo rafiki yangu. Naamini unaendelea vyema na maisha yako. Ni siku nyingine tena ambayo tunajifunza tabia mbalimbali zinahusika katika kukuvuta kwenye mafanikio maku…
-
September 12, 2016
Jinsi Tabia ya Shukrani inavyoweza kukupeleka kwenye mafanikio makubwa.
Habari za leo ndugu msomaji. Ni matumani yangu kwamba unaendelea vyema na mapambano katika kuifikia ndoto yako. Ni kweli kabisa unaweza kuifikia ndoto yako na mimi…
-
September 10, 2016
Jinsi Tabia ya Uaminifu inavyoweza kukuletea Fursa.
Habari za leo ndugu yangu. Natumaini unaendelea vyema katika mapambano. Leo nataka tukajifunze tabia ya Uaminifu ambayo inaweza kukusababishia wewe uendelee kupata fursa nying…
-
September 6, 2016
Hakuna Kinachopatikana Kirahisi
Habari ya Asubuhi Rafiki, Napenda leo kufahamu ni kitu gani kinakufanya wewe ubakie katika hali ile ile bila mabadiliko! Unafikiri ni nani atakua anahusika katika kufanya…
-
September 2, 2016
MAMBO 5 YA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKO.
Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na kupambana katika kutimiza ndoto zako. Leo ninakwenda kukupa njia mambo ya muhimu…
-
September 1, 2016
TUMIA UWEZO WAKO WA KUVUMBUA VITU
“Wote tumezaliwa duniani ili kuifanya dunia kua bora. Kuitoa pale tulipoikuta na kuipeleke sehemu nyingine nzuri Zaidi.” Kila binadamu ana uwezo wa kipekee sana ndani yake…
-
August 30, 2016
UNA ZAWADI NDANI YAKO.
Kila mmoja ana kitu cha kipekee sana ndani yake ambacho amezaliwa nacho. Ni muhimu sana kutambua zawadi uliyozaliwa nayo ili uweze kuitumia kuyafanya maisha ya wengine…
-
August 28, 2016
WEWE NI MSHINDI
Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza…
-
August 28, 2016
USIKATE TAMAA
“We are all dreamers creating the next world, the next beautiful world for ourselves and for our children.” Yoko Ono Sisi wote tuna ndoto za kutengeneza…
-
August 27, 2016
Faida za Audio Books.
Pamoja na Maarifa makubwa unayoyapata katika vitabu hivi hizi ni faida chache unazoweza kuzipata ndani ya Audio Books. 1. Kuokoa muda.Mara nyingi umekua bize na kazi…
-
August 23, 2016
FANYA MAMBO HAYA NDOTO YAKO IKATIMIE
SOMO: ILINDE NDOTO Ndoto ni nini? Ndoto ambayo tunakwenda kuizungumzia sio ndoto unayoota ukiwa umelala. Ni ndoto ya mchana ni kile kitu unachotamani kuja kukipata siku…
