Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 21, 2016
Hasira zinazoleta mabadiliko.
Habari za siku ya leo ni matumaini yangu kwamba unaendelea mbele vyema. Leo tunakwenda kuiona hasira ambayo inaleta mabadiliko katika maisha yetu. Kila kitu kilichopo ndani…
-
October 20, 2016
Usipojua unachotaka
Huwezi kupewa, Huwezi kuonyeshwa jinsi ya kukipata, Hata ukipata hutajua kama umekipata maana hujui unachotaka. Huwezi kujua cha kufanya utafanya kila kinachokujia mbele yako.…
-
October 17, 2016
Wasamehe.
Wako wengi sana waliokuumiza moyo katika safari yako na inawezekana uliumizwa sana na hata kusema hutasamehe. Leo ni nafasi ya kwako kuondoa yote ndani ya moyo…
-
October 16, 2016
BURE INAVYOKUFANYA UWE MTUMWA
Habari za leo mpendwa Rafiki msomaji, ni matumaini yangu unaendelea vyema sana na majukumu yako kila siku. Leo katika kipengele cha tabia tunakwenda kuangalia vitu vya…
-
October 11, 2016
FUNGUO.
Funguo kazi yake kuu ni kufungua na kufunga. Popote kwenye vitu vya thamani kunakua kumefungwa na ulinzi wa kutosha. Mmiliki peke yake ndio hua na ufunguo.…
-
October 10, 2016
SIKU TULIVU NA JACOB:
Muda ndio maisha yetu maana ndio thamani ya pekee tuliyonayo kuliko chochote. Unapompa mtu muda wako unakua umempa kitu cha thamani sana kuliko kitu chochote kile.…
-
October 5, 2016
Thamani yako Ndio Inakulipa.
Nilikua nazungumza na mchekeshaji mmoja nikawa namuuliza maswali haya; Tunasikia wewe ni tajiri umewezaje kua na pesa wakati unafanya kitu cha kawaida sana cha kuchekesha watu…
-
October 4, 2016
NENO LA LEO
Mambo maovu yote yanayoendelea duniani yanasababishwa na watu wengi kuishi bila kutambua makusudi ya wao kuwepo duniani. Mtu anapozaliwa anakua na uwezo mkubwa sana ndani yake…
-
September 27, 2016
Nguzo 10 za Mafanikio
Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na…
-
September 21, 2016
Tabia Ya Uvumilivu Ni Muhimu Ili Ufanikiwe
Habari ya leo ndugu Msomaji. Ni matumaini yangu unaendelea vyema katika mapambano yako ya maisha. Tunaendelea na mfululizo wa Makala za tabia kwasababu mafanikio yeyote yanale…
-
September 19, 2016
NI KITU GANI KINAKUZUIA WEWE USHINDWE KUTOA?
Habari za leo ndugu msomaji. Ni matumaini yangu umemaliza vyema weekend yako. Leo ni jumatatu nyingine tena ambayo tunakwenda kuongeza uzalishaji wetu karibu sana. Jana nilihu…
-
September 17, 2016
Wateja Hawa wanakupotezea Muda
Habari za leo Ndugu natumaini unaendelea vyema na majukumu yako. Ninachofahamu ni kwambakila mmoja kuna kitu anauza hata kama umeajiriwa unauza ujuzi wako kwa mwajiri wako.…
