Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
November 30, 2016
Juhudi Zitaleta Matokeo.
Kama hutakata tamaa ipo siku matunda ya unachokifanya sasa yatakuja kuonekana. Haijalishi hali uliyonayo sasa endelea kuongeza juhudi, hata kama huna anaekutia moyo au kukupon…
-
November 22, 2016
Mambo 20 yanayotufanya waafrika tubaki nyuma siku zote.
Habari za Leo Rafiki, Mwanamafanikio na mpambanaji mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari ya mafanikio. Katika safari hii kujifunza ni kitu cha muhim…
-
November 17, 2016
Matokeo Ya Leo Yalisababishwa, Sababisha ya Kesho Leo.
Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha ya kipekee sana kukuona umefika hapa tena kujifunza. Karibu sana tujifunze pamoja Matokeo unayopata leo yanatokana…
-
November 15, 2016
KIBURI CHA MAFANIKIO
Habari za leo Rafiki, natumaini waendelea vyema na safari hii ya mafanikio. Ni muhimu sana kutokukata tamaa kwani huko mbele tuendako yako mazuri mengi sana. Njia…
-
November 12, 2016
Jipatie Maarifa haya Ndani ya Siri 7
Habari, Jipatie kitabu Siri 7 za Kuwa Hai Leo na ujifunze mambo haya yafuatayo. 1. Tambua kwanini upo Hai Leo na uweze kutumia nafasi hiyo kutengeneza…
-
November 10, 2016
SIMAMA KWENYE NAFASI YAKO.
Kila mmoja ana kitu ambacho amezaliwa kukifanya hapa duniani. Inawezekana bado hujatambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Ni muhimu sana kutambua. Simamia nafasi ya…
-
November 7, 2016
Fanya Kama Hutafanya Tena.
Hatuishi mara mbili duniani, ukishaondoka umeondoka. Katika vitu muhimu sana vya kufanya unapofanya chochote ni kukifanya kama hutakaa uje ufanye tena. Kama umekutana na mtu m…
-
November 6, 2016
FUNGUO: TAARIFA.
Habari za siku ya leo Rafiki natumaini unaendelea vyema.Leo kwenye kipengele cha funguo tunaangalia kitu kinaitwa taarifa. Taarifa ni zile habari au maelezo unayoyapokea. Zipo…
-
November 2, 2016
Millionaire Mindset Training
Kokote kule utakapo kwenda utakutana na binadamu wenye tabia za tofauti na kuna kitu cha kujifunza kwao. Wengine watakua wazuri kwako, wengine watakuumiza, wengine hawat…
-
October 28, 2016
Hakuna wa Kukuzuia
Katika zama hizi za Ulimwengu wa Kiteknolojia mambo mengi sana yamerahisishwa mno. Kwa chochote unachokifanya kama kinahitaji kuwafikia watu njia za kuwafikia zimekua rahisi s…
-
October 25, 2016
FUNGUO ZA MAFANIKIO 1: KUBALI WANAYOFANYA WENGINE.
Habari za Leo rafiki na msomaji wa Blog hii. Natumaini wewe ni mzima kiafya, na pia unaendelea vyema katika mapambano ya kuboresha maisha yako. Tunakwenda kuona…
-
October 24, 2016
SIKU TULIVU.
Haijalishi unapitia magumu kiasi gani wakati huu, naendelea kukutia moyo kwamba unakoelekea kuna matumaini makubwa, ndoto yako inakwenda kutimia. Yawezekana umefika sehemu una…
