Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 19, 2016
HATUA YA 5; Enjoy the Journey.
Mafanikio ni safari na safari yeyote ina changamoto zake. Usione wanaopanda ndege ufikiri huwa nyakati zote ni furaha tu. Kuna wakati ndege hupata misukosuko angani pia.…
-
December 18, 2016
HATUA YA 4; Fanya Kitu
Hakikisha siku haipiti hujafanya kitu katika kufikia ndoto na maono yako. Kila unachokifanya kinasababisha matokeo baadae hivyo Hakikisha siku haipiti hujafanya chochote katik…
-
December 16, 2016
Usijidanganye Ukweli ni Huu.
Kama Mwaka 2017 hutakubali kubadilika huwezi kuona mabadiliko chanya zaidi utaona mabadiliko hasi yaani maisha yataendelea kuwa mabovu zaidi. Kama Mwaka 2017 hutaamua ku…
-
December 15, 2016
Unakwenda Wapi?
Mwaka 2016 Inawezekana umekuonyesha picha ya unapokwenda au umekufanya ukapoteza kabisa mwelekeo wako.Leo Rafiki nataka ujiulize hili swali, Unakwenda wapi? Embu tafakar…
-
December 15, 2016
Being Positive (Kuwa Chanya/Kufikiri Chanya)
Habari ya Asubuhi. Unaendelea Vyema! Mwaka bado haujaisha bado unayo Nafasi ya kuleta mabadiliko kwenye Mwaka huu 2016. Siku chache zilizobaki unaweza kuacha alama. Unaweza ku…
-
December 13, 2016
Faida 5 utakazopata ukijiunga na Semina.
Ukiacha Maarifa utakayopata ndani ya semina hii kuna faida zifuatazo. 1. Ushauri na Mwongozo Utajipatia Ushauri na Mwongozo kwa chochote utakachokua unakifanya ndani ya Mwaka…
-
December 12, 2016
Hizi ndio Taarifa Zinazopofua Macho yako ya Ndani!
Mwaka 2003 nikiwa darasa la nne nilikua na tabia ya kusoma sana vitabu, magazeti na majarida ya hadithi za mapenzi. Vitabu vingi nilivyokuwa navisoma vilikua vya…
-
December 11, 2016
Kitu cha kwanza na Muhimu kukijua wewe Kama Mwanaume
Kama Hujui unapokwenda usiwaambie watu wakufuate. Hii ni pamoja na mke yaani usitafute mke kwanza kama hujajua unapokwenda. Mwanamke mwenye akili anafata maono yako, sio pesa…
-
December 7, 2016
Semina Kubwa Itakayobadili Muelekeo wa Maisha yako mwaka 2017
Habari za Leo Rafiki yangu Ni matumaini yangu unaendelea vyema. Kama tunavyojua kila mwaka unapoanza watu huuanza katika shamrashamra sana lakini ifikapo katikati watu hu…
-
December 6, 2016
Maisha yako Yatakuwa Magumu zaidi Mwaka 2017 kama Bado una Tabia Hizi…
Mwaka 2016 ndio unafikia ukingoni huku asilimia kubwa ya watu wakiendelea kulalamika hali ni ngumu. Ukweli Inawezekana ni ngumu sana na itazidi kuwa ngumu zaidi Mwaka…
-
December 5, 2016
Hii Ni Nafasi ya Wewe Kubadili Maisha yako mwaka 2017.
Watu wengi tumekuwa tunatamani sana kupiga hatua katika maisha yetu na kufikia mafanikio. Lakini kumekua na vitu mbalimbali vinaturudisha nyuma na kutuzuia. Inawezekana mwaka…
-
December 1, 2016
Vitu Vya Muhimu Kufanya Mwisho wa Mwaka
Wengi wetu hupenda kuutumia mwezi huu vibaya katika kufuja pesa nyingi kwenye starehe na mwisho huaanza mwezi wa kwanza bila kitu chochote. Wewe kama mwanamafanikio unatakiwa…
