Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 28, 2016
HATUA YA 14; UNA NGUVU NDANI YAKO.
Una nguvu kubwa sana ndani yako. Inawezekana hujawahi kuambiwa hata siku moja. Leo ninakwambia ipo nguvu ndani yako ya kushinda yote ambayo unayapitia sasa. Ipo ngvuvu…
-
December 27, 2016
JINSI YA KUMALIZA MWAKA KWA USHINDI.
Habari za Leo mwanamafanikio? Siku kuu imekwenda vyema kwangu. Natumaini na kwako pia. Ni siku chache zimebaki katika mwaka lakini tukiweza kuzitumia vyema tutaacha alama nd…
-
December 27, 2016
HATUA YA 13; Ipo Siku.
Hapo zamani kabla ya kutambua ni kitu gani natakiwa kufanya ili nifikie Mafanikio nilizoea kusema ipo siku ndoto yangu itatimia. Ni maneno mazuri sana na ya…
-
December 26, 2016
HATUA YA 12; Wewe Rafiki Yangu.
Wewe ni Rafiki Yangu hivyo lazima wakati wote niwe nakwambia Ukweli. Ukweli ni kwamba usipokubali kubadilika mwaka 2017 utakua mgumu zaidi. Wewe Rafiki Yangu usiopoacha kuishi…
-
December 25, 2016
HATUA YA 11; Furaha yako Inatoka Wapi?
Furaha yako inatoka wapi? Nataka ujiulize leo furaha yako inatokana na nini! Kila mmoja ana jibu lake juu ya chanzo cha furaha yake. Kama furaha yako…
-
December 24, 2016
HATUA YA 10; Tafuta sababu ya Tatizo
Kila kinachotokea Maishano mwako kinatokea Kwasababu. Changamoto yeyote unayopitia ipo Kwasababu. Ugumu wa Maisha unaopitia upo Kwasababu. Ukosefu wa pesa ulionao upo Kwasaba…
-
December 23, 2016
HATUA YA 9; Tabia ya Uvivu.
Tabia ya Uvivu ndio inasababisha wengi wanapata hasara ya maisha pamoja na matatizo mbalimbali. Tabia ya Uvivu mara nyingi huletwa na kuridhika na kile unachokipata. Kama…
-
December 22, 2016
HATUA YA 8; UADILIFU
Uadilifu ni kitu cha muhimu sana kwenye Maisha yetu ili kutuwezesha kujenga historia nzuri. Watu wengi wanakosa uadilifu ndio maana biashara zao zinakufa baada ya muda…
-
December 22, 2016
UNAPOPITIA MAGUMU….
Unapopitia Magumu katika maisha mara zote tunatafuta kugundua chanzo na kutatua ugumu ule. Kuna *Siri* inakua imejificha na huwezi kugundua tatizo lipo wapi. Ili uweze kutatua…
-
December 21, 2016
HATUA YA 7; Kurudia Rudia.
Kabla hujasema Haiwezekani umeshajaribu mara ngapi? Kabla hujaamua kuacha umefanya kwa Kiwango cha kuridhisha? Umerudia mara ngapi? Hivi unajua kila mbegu ina muda wake wa ku…
-
December 20, 2016
HATUA YA 6; Nidhamu
Nidhamu ndio kitu cha muhimu sana katika safari yetu ya Mafanikio. Nidhamu ni pale unapoamua kufanya kitu iwe unataka au hutaki. Kama umesema utasoma vitabu viwili…
-
December 19, 2016
Safari Yangu Ilianzia Hapa…
Habari za leo Rafiki yangu. Natumaini unaendelea vyema katika kupambana na maisha. Leo ninataka ufahamu jinsi mimi nilivyoanza safari hii ninayoendelea nayo. Safari ya kufundi…
