Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 4, 2017
HATUA YA 46: Ukweli Utakuweka Huru.
Kuna msemo mmoja unasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Walisema hivi kwa sababu ukidanganya halafu ukasahau ulichodanganya huwezi kuwa huru. Ukidanganya mara ya kwanza itaku…
-
January 4, 2017
HATUA YA 21: Tafuta Muda Mzuri na Wewe Peke Yako.
Ni Mara ngapi umekuwa ukiwapa watu muda wako? Ni mara ngapi umekuwa ukivipa vitu vya namna mbalimbali kwenye Maisha yako? Umekuwa ukitumia muda mwingi na…
-
January 3, 2017
HATUA YA 3 : Hapo Ulipo Sasa.
Hapo ulipo sasa usipadharau na kujiona upo nyuma sana. Kuna wengi sana wanatamani wafikie HATUA uliyofikia wewe. Kuna wengi wanajifunza kwa HATUA uliyofikia leo. Hata kama…
-
January 3, 2017
HATUA YA 20: Andika Historia.
Kila hatua unayopita hakikisha huachi hivi hivi, Hakikisha uneacha alama. Ni changamoto unapitia Hakikisha haikuachi hivi bure, utoke na cha kujifunza, Hakikisha Unatoka na ha…
-
January 2, 2017
HATUA YA 2: Unahitaji au Unajionyesha?
Nunua kitu Kwasababu unakihitaji sio kwa ajili ya kuwaonyesha wengine kwamba una uwezo wa kipesa. Tatizo kubwa linalotusumbua ni kwamba tunafanya mambo ili watu watuone. Mtu…
-
January 2, 2017
HATUA YA 19: ASILI HAIBADILIKI.
Mojawapo ya vitu ambavyo havitaweza kubadilishwa ni vile ambavyo aliviumba Mungu. Lakini kila alichogundua mwanadamu unaweza kufikiri namna ya kukiboresha. Mwanadamu ukisema u…
-
January 1, 2017
HATUA YA 1. Kupiga Hatua Kuna Gharama.
Kwenye safari yetu ya mafanikio kuna vitu vingi tunafanya ili tusonge mbele kila wakati. Ili mtu atoke sehemu moja aliyokuwepo na kusogea mbele anahitaji kulipa gharama.…
-
January 1, 2017
HATUA YA 18: Usiishie Njiani.
Heri Ya Mwaka Mpya. Nina neno moja tu kwako mwaka huu wa 2017. #USIISHIE NJIANI. Yapo mengi sana Ulianza mwaka jana ukaweka malengo makubwa lakini ukaishia…
-
December 31, 2016
HATUA YA 17: Tafuta mtu wa Kukukosoa.
Wanadamu kwa asili tunapenda kusifiwa. Pale inapotokea mtu amekukosoa wakati mwingine unaweza kufikiri anakuonea wivu au vingine. Lakini ukweli ni kwamba hatuwezi kukua au kuw…
-
December 30, 2016
HATUA YA 16; Noa Shoka Lako.
Usiparamie mti wakati shoka ni butu. Utatumia nguvu kubwa sana lakini utapata matokeo madogo. Abraham Lincoln aliwahi kusema kwamba akipewa masaa sita kukata mti atatumia masa…
-
December 29, 2016
MAELEZO MAFUPI JUU YA SEMINA.
Habari za leo naomba nitoe maelezo mafupi tena juu ya semina yetu kwasababu kuna watu waliojiunga na mtandao huu mwishoni na hawakupata taarifa za semina yetu.…
-
December 29, 2016
HATUA YA 15; KUFIKIRI NA KUTENDA.
Kufikiri na kutenda ni vitu viwili ambavyo huwa haviachana popote utakapofanya jambo. Mambo mengi mabaya na mazuri hua yanatokea hapa duniani kwasababu ya hivi vitu viwili.…
