Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
May 17, 2018
#HEKIMA YA LEO : Ushindi Mdogo ni Ushindi Mkubwa.
Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka…
-
May 16, 2018
HATUA YA 341: Kwenda na Wakati.
Kila mmoja anatamani sana kwenda na wakati, hakuna anaetaka kuonekana yeye ni wa zamani. Hii ndio maana unakuta watu wanakimbizana na mitindo mbalimbali mipya ya mavavi.…
-
May 15, 2018
HATUA YA 340: Vitu Hivi Viko Sambamba Siku Zote.
Huwezi kusema unataka mwili wenye misuli bila ya mazoezi magumu na mazito. Huwezi kusema unataka mtoto lakini hutaki kubeba majukumu ya kupata mtoto. Maumivu, kukataliwa, kupi…
-
May 12, 2018
HATUA YA 339: Ukisubiria Nafasi Itokee, Wenzako Wanatengeneza Nafasi.
Kwenye Maisha unapaswa uweze kutofautisha kati ya vitu ambavyo unatakiwa uvifanye vitokee na ambavyo unatakiwa usubiri vitokee kwa uweza utokao juu. Ukishindwa kuvitofautisha…
-
May 10, 2018
HATUA YA 338: Jua Kusudi Lako, Ili Usiteseke na Majira ya Wengine.
Kama tunasema kila binadamu ana upekee wake basi ni kama zilivyo mbegu za mimea mbalimbali. Kila mbegu ina muda wake wa tofauti katika kuonekana imeanza kuchipuka…
-
May 10, 2018
HITAJI MSAADA KUTOKA KWA MUNGU PEKE YAKE
MAHALI SAHIHI PA KUPATA MSAADA WAKATI WA SHIDA AU TATIZO. Na Steven Mshiu I. Kipindi fulani niliazimia kufanya kufanya biashara fulani, na kwa kuwa ilikuwa ni…
-
May 9, 2018
HATUA YA 337: Hakuna Kinachotokea Bila Ya Sababu Hata Kama ni Kibaya.
Unapoona mabaya yamekuja kwako usiwe mwepesi wa kulalamika bali penda kujiuliza maswali. Penda kudadisi ni wapi umekosea au ni kitu gani unapaswa kujifunza. Umeingia kwenye ma…
-
May 8, 2018
HATUA YA 336: Kwenye Dunia Unayoweza Kuwa Chochote Unachotaka.
Kwenye dunia hii ambayo kila unachotaka kuwa unaweza kuwa ni vyema ukachagua kuwa mwema. Hii ndio njia pekee ya kwanza kuonyesha wewe ni binadamu. Mtu anapofanya…
-
May 5, 2018
Faida 5 za Kusoma Vitabu.
Ili uweze kuwa na mwili wenye afya bora lazima ule vyakula bora na kufanya mazoezi. Vilevile kwenye akili yako ni vyema ukapata maarifa ambayo yanakufanya uwe…
-
May 5, 2018
MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.
Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama nam…
-
May 4, 2018
Neno moja Unalolihitaji ili Ufanikiwe
Najua unatamani kufanikiwa, sana. Kiasi kwamba ni kitu unachowaambia watu wengi kwenye maisha kwamba utafanya, kinachokufanya ufanye kazi kwa moyo wote, kinachokufanya ufikiri…
-
May 4, 2018
KONA YA BIASHARA: Faida za Kuwa na Maono Kwenye Biashara Yako
Pasipo maono kwenye biashara yeyote watu wengi huishia njiani. Kama hakuna unapotaka kufika utakuwa unaridhika na kile unachokipata kila siku. Kama huna maono huwezi kuwa na…
