Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 12, 2018
HATUA YA 347: Vita Inapokuwa Ngumu..
Ukiona ugumu unazidi tambua ya kwamba ndio mwisho wa pambana unakaribia. Ukiona changamoto zinazidi kuwa nyingi basi ujue kuna sehemu unakaribia kuvuka. Mbegu ikifukiwa chini…
-
June 11, 2018
USIYAFANYE MAISHA YAKO KUWA MAGUMU (Sehemu ya 3)
Kokosa Vipaumbele. Hakuna Maisha ya hovyo na magumu hapa duniani kama Maisha yasiyo na vipaumbele. Rafiki yangu lazima ujue una mambo gani unatakiwa kufanya na hayo…
-
June 8, 2018
HEKIMA YA LEO: Usiyafanye Maisha Yako Kuwa Magumu (Sehemu ya 2)
Ugumu wa Maisha wa Kujitakia. Ni vizuri ukatambua kwamba ili uweze kufika viwango vya juu Zaidi ya hapo ulipo sasa hivi lazima ukubali kufanya maamuzi magumu.…
-
June 7, 2018
HEKIMA YA LEO: Usiyafanye Maisha Yako Kuwa Magumu. (Sehemu ya Kwanza)
#Ni kweli Maisha hayajawahi kuwa marahisi ila kuna sehemu unaweza kuwa unazidisha ugumu wewe mwenyewe. “Pale ambapo wewe ni Mjinga Ndipo Wengine Wanakufaidi” #Ni kweli huwezi…
-
June 7, 2018
HATUA YA 346: Unaweka Mchanganyiko Sahihi?
#Maji ni kimiminika ambacho kinatumika katika vitu vingi sana kwenye Maisha yetu. Ili uweze kuyatumia maji lazima uwe na lengo la kuyatumia la sivyo unaweza kuwa…
-
June 6, 2018
#HEKIMA YA LEO: Kanuni ya J+F Inavyoleta Matokeo.
Habari Rafiki, siku yako umeianzaje? Unajua kwamba jinsi unavyoanza siku yako ndio na matokeo hufanana hivyo hivyo? Kama umeanza kwa kulalamika basi siku nzima inakuwa ni…
-
June 6, 2018
HATUA YA 345: Mambo Ambao Wengi Wanakwepa Kufanya.
Kwenye dunia kila mmoja analipwa kwa thamani anayoitoa. Aina ya Maisha unayoishi ni kutokana na thamani unayoipa dunia. Mshahara unaolipwa ni thamani unayoitoa kwa bosi wako.…
-
June 2, 2018
HATUA YA 344: Kuna Kinachobadilika?
Kama kuogopa kwako hakubadilishi chochote kwenye kile unachokiogopa hakuna maana ya kuogopa. Hakuna haja yeyote ya kuwa na woga ama wasiwasi kwasababu hakubadilishi matokeo ye…
-
June 1, 2018
HATUA YA 343: Unalofanya leo, matokeo ni kesho..
Dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni kubwa sana sehemu ya mapokezi. Kazi ile ilimpa kiburi sana kwasababu ilikuwa ni kampuni ambayo ina jina kubwa sana.…
-
May 29, 2018
HATUA YA 342: Unaemngoja Anakungoja Wewe.
Inawezekana kuna mtu unamngoja aje afanye jambo kwenye Maisha yako ili yabadilike. Inawezekana kwenye akili yako unasubiri ipo siku mambo yatakaa sawa na kuwa marahisi Zaidi…
-
May 26, 2018
HII NDIO NJIA YA PEKEE YA KUISHI MILELE.
Kungekuwa hakunaga kufa kwa namna ninavyoona wanadamu hasa wa Africa wangekuwa wavivu sana kuliko viumbe wengine wote. Nadhani kungekuwa hakuna ambaye anajishughulisha sana kw…
-
May 17, 2018
JAMBO HILI PEKEE NDIO LITAWAFANYA WATU WAULIZANE.
Inawezekana kwenye uko wenu familia yenu ndio mna hali duni kuliko wengine wote na hivyo kuonekana kama mnawategemea wale ambao wamewazidi. Inawezekana umefeli masomo na hujaw…
