Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
September 4, 2018
HATUA YA 377: Fanya Kinyume Nao
Angalia kile watu wengi wanafanya kisha wewe fanya kinyume na wao na utaweza kuwa na mafanikio makubwa. Kama watu wengi hawaamki mapema basi wewe amka mapema…
-
September 3, 2018
HATUA YA 376: MAONI YA MTU MMOJA.
Umewahi kuwa na wazo lako zuri sana ambalo linakuhamasisha mno ukakutana na mtu mmoja ukamuelezea na kwa sentensi yake moja aliyokujibu ikakufanya ukaliharibu kabisa wazo lako…
-
August 30, 2018
UNAITUMIA MITANDAO YA KIJAMII AU INAKUTUMIA WEWE?
Kwa kijana ambaye umefanikiwa kuwepo kwenye karne hii ya 21 ukisema kwamba huna njia ya kufanikiwa utakuwa unajiaibisha. Mabadiliko makubwa sana ya kiteknolojia yaliyopo sasa…
-
August 25, 2018
HATUA YA 375: Na Hiki Pia Umeamua Wewe.
Unajua kwamba umeamua mwenyewe kufungua Makala hii na kuisoma? Hivyo basi Maisha ya kila siku ni mkusanyiko wa maamuzi ambayo unayafanya kila dakika na kila saa.…
-
August 24, 2018
HATUA YA 374: Weka Bidii Na Ubora Hata Kama Huoni Manufaa Sasa.
Mwaka 2004 nikiwa shule ya msingi Mdawi tulichelewa kuingia darasani mimi na wanafunzi wenzangu na tukachapwa sana viboko. Sababu ambayo ilitufanya tuchelewe kuingia darasani…
-
August 10, 2018
UA KWANZA MZIMU HUU UNAOKUTESA ILI UFANIKIWE.
Kinachofanya ukwame ni vile unapoteza muda kurekebisha makossa ambayo uliyafanya. Kinachokurudisha nyuma ni pale unapotaka kubadilisha mambo ambayo uliharibu. Njia pekee ya ku…
-
August 10, 2018
HATUA YA 373: Mazao Yakiliwa Na Wadudu Shambani Sio Mwisho Wa Kilimo.
Habari Rafiki yangu, zimepita siku chache kidogo sijakuandikia Makala katika Mtandao wetu. Najua umekuwa unatamani sana kunisoma lakini haikuwa katika uwezo wangu kukuandikia…
-
July 26, 2018
HATUA YA 372: Kama Ukiona..
Kumekuwa na watu wengi ambao wanaweza kuona makossa na matatizo juu ya vitu lakini ni wachache wanaweza kuchukua hatua na kuleta suluhisho. Badala yake wanabaki wakilalamika…
-
July 25, 2018
HATUA YA 371: Fanyia Kazi Kilichopo Mbele Yako.
Hakuna kitu kibaya sana ambacho kinawafanya watu washindwe kwenda mbele kama historia mbaya ya Maisha yao. Mfano wewe kwenu tangu umezaliwa umekuwa unaimbiwa wimbo wa sisi…
-
July 24, 2018
HATUA YA 370: Mtu wa Ndani na Mtu wa Nje.
Mtoto mdogo ndio binadamu pekee ambaye kile anachokifanya unaweza kuamini anakimaanisha kabisa. Hii ni kwasababu mtoto anakuwa hajajua chochote juu ya ukweli wala uongo, hajui…
-
July 16, 2018
HATUA YA 369: Usiuze Utu Wako.
Katika Muda mchache ambao nimekuwepo hapa duniani, kuna aina ya watu mbalimbali ambao nimeshakutana nao. Kuna aina ya tabia ambazo nimeziona zimekuwa zinanishangaza sana na wa…
-
July 13, 2018
HATUA YA 368: Wewe Unasemaje?
Unaweza kukaa kwenye jamii ambayo haikuelewi kutokana na matendo yako au yale ambayo unayanena juu yao. Unaweza kukaa na marafiki ndugu au hata wazazi wasioelewa kusudi…
