Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
September 28, 2018
HATUA YA 389: KWANINI UNATAKIWA UMJENGEE MWANAO MTAZAMO HUU?
“Kile Unachokijua Kinakuathiri Sana Kuliko Unavyofikiri.” Nilipokuwa mdogo mtu mwenye mafanikio sana niliekuwa na mfahamu alikuwa anafanya kazi ya udereva. Hivyo nikawa nikiam…
-
September 27, 2018
HATUA YA 388: Umeshajiuliza Ni Wapi Unakosea?
Ukweli ni kwamba hakuna mtu asiyependa mafanikio, hata maskini kabisa anatamani sana atoke kwenye umaskini wake awe na mafanikio. Tatizo linakuja kwenye kile ambacho mtu anaki…
-
September 17, 2018
HATUA YA 387: Ukikosea Utapigwa..
Shule ya Sekondari niliyosoma kulikuwa na waalimu ambao nawakumbuka mpaka sasa. Mwalimu mmoja alisifika sana kwa kufundisha vizuri sana, Mwalimu mwingine alisifika sana kwa ku…
-
September 15, 2018
HATUA 386: Ndoto Yako Inakuhamasisha?
Mhamasishaji wa Kimataifa Les Brown aliwahi kusema kwamba sio kuwa wtau hawana malengo watu wana malengo lakini ni madogo sana kiasi kwamba wanayatimiza haraka sana bila…
-
September 13, 2018
HATUA YA 385: Ukitaka Kueleweka Acha Kutafuta Kueleweka.
Ukweli ni kwamba ukitafuta kueleweka utakuwa unawachanganya watu badala ya watu kukuelewa. Kitu ambacho unaweza kukifanya pekee ni kuendelea kufanya kile unachoamini, endelea…
-
September 12, 2018
HATUA YA 384: Unahitaji Kuwa na Watu Hawa Wa Muhimu.
Mafanikio yako yamebebwa na watu wengine. Ili uweze kufika mbali lazima uwajue watu ambao ni sahihi kwenye mafanikio yako. Pesa unazozihitaji zipo kwa watu sasa ni…
-
September 11, 2018
HATUA YA 383: Ni Haki Yako Lakini Lazima Uumie
Unajua kila kitu kizuri hapa duniani ni kwa ajili ya kila binadamu? Unajua kwamba hata wewe unastahili dhahabu, ndege, au chochote kizuri? Unajua kila ambacho umekuwa…
-
September 10, 2018
HATUA YA 382: Njia Pekee ya Kuiponya Dunia Hii.
Pamoja na matukio maovu ambayo yanaendelea kila siku hapa duniani, tunasikia watu wanauwawa kinyama, wengine wanafanyiwa Matendo mabaya sana kama ubakaji, na mengine unayoyafa…
-
September 8, 2018
HATUA YA 381: Wewe Unaona nini Kwenye Vitu/Watu?
As Confucius said: Everything has its beauty, but not everyone sees it. Confucius alikuwa ni mwanafalsafa wa Kichina aliwahi kusema kwamba kila kitu kina uzuri wake…
-
September 7, 2018
HATUA YA 380: Fuatilia Maisha ya Watu Hawa..
Usipoteze muda wako hata kidogo kufuatilia Maisha ya mtu ambaye wewe binafsi huna mpango wa kufika pale alipo. Itakuwa ni sawa na mtu anaetaka kupungua lakini…
-
September 6, 2018
HATUA YA 379: Ni Kipi cha Muhimu Kwenye Maisha Yako?
Kipaumbele kikubwa kwenye Maisha yako ni kipi? Ndugu yangu kama huna kipaumbele kikuu cha Maisha ambacho ndio kinakuwa sababu ya wewe kuamka mapema, kufanya kazi kwa…
-
September 5, 2018
HATUA YA 378: Kama Ukiamka Asubuhi Unafanya Kitu Hiki, Upo Kwenye Hatari Kubwa Sana.
Muda wa asubuhi ndio wakati ambapo akili yako inakuwa na uwezo Mkubwa sana wa kufikiri na kufanya maamuzi magumu. Kama ukiweza kuutumia muda huu vizuri kufanya…
