Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
July 12, 2018
HATUA YA 367: Kama Sio Sahihi Usifanye na kama Sio Kweli Usiseme.
Jambo lolote unalotaka kufanya lazima uwe na muda wa kujiuliza faida na hasara ya jambo lenyewe katika Maisha yako na ya wengine. Karibu kila jambo ambalo…
-
July 11, 2018
HATUA YA 366: Hakuna Hali Yeyote Inayodumu Kwenye Maisha Yako.
Maisha ni muunganiko wa matukio ya aina mbalimbali ambayo yanaendelea kila siku. Kuna nyakati utakuwa na furaha sana na kila unalolifanya linaleta matokeo yale uliyokuwa unaya…
-
July 10, 2018
HATUA YA 365: Hata Ukifika Mbinguni Ukarudi Bado Kuna Ambao Hawataamini.
Katika Maisha yako usikubali kuwa mtumwa wa kufanya vitu ili watu wakuamini au wakuthamini au wakukubali. Chochote kile unachokifanya sababu ya kwanza inatakiwa kuwa ni moyo…
-
July 9, 2018
HATUA YA 364: Jambo Hili Naomba Usilisahau.
Kuna mtu mmoja aliniambia Jacob naona mnataka kuwabadilisha watu waanze kufikiri kwamba ugumu wa Maisha yao wameusababisha wenyewe. Mbona kama mnataka kuwadanganya? Kuna vitu…
-
July 7, 2018
JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA NA KUFIKIA UHURU WA KIFEDHA
SEMINA JANUARY 2017 SIKU YA KWANZA JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA Haijalishi upo kwenye madeni makubwa kiasi gani bado una nafasi ya kutoka na kuanza safari…
-
July 7, 2018
HATUA YA 363: Wote Tunatazama, Tunatofautiana Kuona.
Tunaweza kutazama mti kwa pamoja lakini kila mmoja akauona kwa mtazamo wake wa tofauti. Kuna ambaye ataona mti kama mti tu, mwingine ataona kuni, mwingine ataona…
-
July 6, 2018
HATUA YA 362: Tabia Yako Ya Halisi Ni Hii Hapa.
Unaweza kukutana na mtu akakufanyia kila jambo zuri na mengine hujawahi kufanyiwa na mtu mwingine yeyote hapa duniani. Utajisikia rah asana na kumuona ni mtu wa…
-
July 6, 2018
HATUA YA 361: Ushindi Mdogo ni Hamasa ya Kufikia Ushindi Mkubwa.
Vile vitu vidogo vidogo unavyofanya na ukafanikiwa ndio vinakupa hamasa ya kufikika ushindi mkubwa. Kama utakuwa unadharau mambo madogo madogo ni rahisi kwamba huwezi kuyafiki…
-
July 5, 2018
HATUA YA 360: Hii Ndio Dawa ya Hofu
Kwenye jambo lolote kubwa au la tofauti na ambalo halijawahi kufanyika na watu wengi mar azote unapotaka kufanya unakuwa na hofu sana. Sio kawaida ya watu…
-
July 4, 2018
HATUA YA 359: Umeifahamu Malighafi Sahihi?.
Tumekuwa na watu ambao wanapenda vitu ambavyo vipo tayari tayari. Kila wanachokitaka wanataka kiwe tayari kimeshakamilika na wao waanze kutumia tu. Ukweli ni kwamba tangu mwan…
-
July 3, 2018
HATUA YA 358: Hiki Ndio Kitu Pekee Kinachopatikana Bila Bidii
Majani yanayojiotea yenyewe kwenye mashamba ambayo hayajapandwa kitu au hata yale yaliyopandwa mar azote huwa ni kwa ajili ya viumbe wengine ambao hawana uwezo wa kujitengenez…
-
July 2, 2018
HATUA YA 357: Watakukata Mbawa Zako.
Kuku na tai hawawezi kuishi pamoja na ili waweze kuishi pamoja njia ambayo ni rahisi sana ni tai kupunguziwa mabawa yake yanayomwezesha kuruka. Hii ni kwasababu…
