USHAURI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 20, 2019
474; USHAURI: Unapofika Wakati Unaona Maisha Yako Hayana Maana wala Thamani Tena.
Nilikuwa napitia maisha ya mwandishi mashuhuri kutoka Brazil, Paulo Coelho aliendika vitabu vingi kikiwemo cha The Alchemist. Mojawapo ya jambo gumu alilowahi kupitia maishani…
-
March 18, 2019
470;USHAURI: MUONDOE CHUMA ULETE HUYU KWENYE PESA ZAKO.
Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu waishi maisha ya magumu sana hapa duniani ni kukosa namna bora ya kupangilia na kuendesha maisha yao. Kingine ni kwamba wengi…
-
October 24, 2018
400: Hakuna AnaeKulazimisha.
Ulipokuwa mtoto kuna nyakati ulikuwa ukichelewa kuamka unakuja kuamshwa na viboko au wakati mwingine unamwagiwa maji. Kuna wakati pia ulikuwa unalazimishwa kusoma kwa bidii na…
-
July 7, 2018
JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA NA KUFIKIA UHURU WA KIFEDHA
SEMINA JANUARY 2017 SIKU YA KWANZA JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA Haijalishi upo kwenye madeni makubwa kiasi gani bado una nafasi ya kutoka na kuanza safari…
-
May 5, 2018
MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.
Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama nam…
-
April 17, 2018
MAMBO 6 YANAYOIBA FURAHA YAKO.
Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema na…
-
February 16, 2018
HUU NDIO UKWELI ULIKUWA HUUJUI JUU YA PESA.
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako…
-
November 21, 2017
KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.
Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni…
-
August 28, 2016
WEWE NI MSHINDI
Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza…
-
May 10, 2016
Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.
Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali ta…
