USHAURI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 18, 2019
512; Mimi Ni Mtenda Dhambi Kuliko Wewe.
Siku Moja nilikuwa nawaza hivi, “Siku Nikifa Nikakuta hakuna Mungu Nitacheka Sana”, Sauti nyingine ndani yako Ikasema, “Hapo Utakapokuwa Unachekea ni Nani Huyo Atakuwa Amekute…
-
December 17, 2019
511; Unakimbilia Wapi? Tazama Pembeni Yako.
Haya Ndio Maisha yetu kwenye vitu vingi tunavyopitia kila siku, Soma kisa hiki ujifunze: “Habari kaka Jacob, ninaomba ushauri wako kuhusu hili. Ni mwaka wa tatu…
-
November 13, 2019
510; Ninajihisi Kama Mtu Aliekwama Kwenye Tope.
“Kaka Jacob naomba ushauri wako, sijui hata nifanyeje, huu ni mwaka wa 5 sasa nimekuwa najaribu kuingia kwenye mahusiano tofauti tofauti lakini naambulia kuachwa na kuumizwa.…
-
August 24, 2019
506; Nilimwona Akiingia Gesti Jana Jioni
Ni mara ngapi umewahi kuambiwa kuhusu wengine, mfano; “Nilimwona Fulani akiingia Gesti Jana”, “Fulani ana Mwanamke Mpya” na mengine mengi. Ukweli ni kwamba huenda umeyasikia s…
-
August 8, 2019
504; Nyama Kilo 1 ni Tsh elfu moja.
Embu jiulize leo bei ya nyama kilo moja ni Tsh elfu tano hadi elfu saba kulingana na maeneo, sasa ukipita mahali ukakuta kuna nyama ya ng’ombe…
-
June 12, 2019
493; USIWATHIBITISHIE. (DON’T PROVE THEM WRONG)
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona watu wanafanya vitu mbalimbali kama ujasirimali, biashara fulani, kazi Fulani, ili tu kuwathibitishia watu fulani waliokuwa wanawaona wao hawaf…
-
May 20, 2019
489; Hizi Ndio Fikra Zinazokufanya Usiendelee Kwenye Maisha.
Ndani ya jiji lenye watu wengi kuliko miji mingine ndani ya Tanzania jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri. Hivyo basi…
-
May 3, 2019
488; Usiongeze Matumizi, Ongeza Hiki.
Badala ya kubadilisha aina ya maisha unayoishi baada ya kuongezeka kwa kipato Wekeza zaidi kwanza. Badala ya kukununua vitu ambavyo vitakuongezea matumizi ya pesa zaidi nunua…
-
April 23, 2019
487; KUNA WATU UMEWAZIDI VITU VINGI, LAKINI WANAFANIKIWA, ZIJUE SABABU ZINAZOKUKWAMISHA.
Umeshawahi kusikia mtu anasema, “Mbona kama wamempendelea yule! sionagi cha maana anachokifanya wala simuelewagi!!” Mwingine anadiriki kusema, “Atakuwa ametoa rushwa kuipata i…
-
April 8, 2019
484; Ukiachwa Ni Nani Anakuwa Amepoteza?
Nilimpenda sana, nilimwonesha mapenzi yote, nilimpa kila alichokuwa anataka lakini nimeambulia kuachwa. Hayo ni mojawapo ya maneno ambayo watu wengi wamekuwa wakiyatoa baada y…
-
April 2, 2019
480; Tambua Kusudi La Mungu Maishani Mwako.
Unaweza kujikuta unafanya mambo hayaendi kabisa na wala huoni matokeo yake unayoyataka kwasababu upo nje ya kusudi la Mungu. Mungu hajakuumba kwa bahati mbaya ulik…
-
March 27, 2019
478; Farasi Anaweza Kukimbia Sana Ila Sio Peke Yake.
Farasi anaweza Kukimbia umbali mrefu ila hawezi Kukimbia bila mpandaji. Mpandaji ndio atadhibiti mwendo na njia anayotakiwa apite. Bila mpandaji huyu Farasi angeweza kupita kw…
