BIASHARA NA UJASIRIAMALI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
September 21, 2016
Tabia Ya Uvumilivu Ni Muhimu Ili Ufanikiwe
Habari ya leo ndugu Msomaji. Ni matumaini yangu unaendelea vyema katika mapambano yako ya maisha. Tunaendelea na mfululizo wa Makala za tabia kwasababu mafanikio yeyote yanale…
-
September 2, 2016
MAMBO 5 YA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKO.
Habari za leo ndugu msomaji wa mtandao huu ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na kupambana katika kutimiza ndoto zako. Leo ninakwenda kukupa njia mambo ya muhimu…
-
June 20, 2016
Jikubali Mwenyewe Kwanza.
Kabla wengine hawajaona kilichopo ndani yako ni vizuri zaidi ukawa wa kwanza kukiona na kukijua vizuri. Kabla wengine hawajaanza kukusifia jisifie Mwenyewe na hapa simaanishi…
-
June 17, 2016
Jinsi ya kupata wazo la biashara:
Habari za leo ni matumaini yangu kua unaendelea vyema kabisa. Leo tunakwenda kutazama njia tano za kupata wazo la biashara popote pale ulipo. Karibu ujifunze nami.…
-
June 16, 2016
JIPONGEZE.
Unapotimiza malengo yako haijalishi ni madogo kiasi gani unatakiwa ujipongeze. Kwanini ujipongeze? Hii inakuongezea hamasa zaidi ya kufanya mambo mengine yanayoendelea. Haija…
-
June 14, 2016
Kusita sita ni Adui wa mafanikio yako.
Kama Unaogopa hatari, hasara, kupoteza, hautakaa uweze kutoka hapo ulipo. Hautawezw kusogea mbele. Maisha ni kujitoa na kufanya bila kuogopa chochote bila kuogopa changamoto.…
-
June 4, 2016
#SiriZaKuaHaiLeo:1. Ni nafasi ya kubadilisha.
Ni nafasi nyingine ya kutubia makosa yako. Ni nafasi nyingine ya kufanya upya kwa umakini pale ulipokosea jana. Ni nafasi nyingine ya kufanya uchaguzi upya. Yako…
-
May 30, 2016
Walioshindwa.
Walioshindwa jambo na wakaliacha kabisa bila kurudia au kujua kwamba wao wanahusika vipi katika kushindwa kule, wana maelezo ya kutosha kukushawishi na wewe kwa nini utashindw…
-
May 26, 2016
UNAHITAJI WATU.
Mwandishi mmoja wa vitabu anaejulikana kwa jina la Zig Ziglar Alisema “To get what you want you must help enough people to get what they want”…
-
May 25, 2016
Pale unapohisi.
Pale unapojihisi kukata tamaa ndio sehemu hasa ya kuongeza bidii maana ni matokeo yanavyokwenda kuonekana. Pale unapojihisi kuchoka ndio wakati wa kuinuka tena kwani vita ndio…
-
May 24, 2016
Tabia za watu wenye Mafanikio.
Tabia ni vile vitendo ambavyo tunavifanya mara kwa mara bila kuacha. Tabia ni vitu ambavyo vimejengeka ndani yetu, kama unavyoweza kuamka na kuswaki kila siku asubuhi…
-
May 23, 2016
Nguvu ya Ulimi.
Wanasema Ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kinaweza kufanya mambo makubwa. Ulimi unaweza kuvunja ndoa yako. Ulimi unaweza kukukosanisha na ndugu jamaa na marafiki. Ulimi unaw…
