MBINU ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 3, 2018
407; Naomba Nikukumbushe tena Hili.
Yapo mambo ambayo ni msingi wa Maisha bora ya kila mwanadamu, kama ukiweza kuyafanyia kazi vizuri utaishi kwa furaha na amani hapa duniani siku zote. Ni…
-
December 3, 2018
406; Ni rahisi Sana Kuanza, Tabu Ipo Hapa.
Watu wamekuwa wanasema mwanzo ni mgumu ni kweli kuna baadhi ya mambo mwanzo ni mgumu. Ila bado kuna mambo ambayo ni rahisi sana kuanza ila kumaliza…
-
December 1, 2018
405; Sio Lazima Ufanane Nao
Furaha itakuja pale ambapo utaanza kuishi Maisha ambayo moyo wako unataka na sio vile ambavyo watu wanataka uishi. Furaha ya kweli ipo ndani yako na utaweza…
-
November 29, 2018
404; Ni Wachache Sana Wanaweza Kujibu Swali Hili.
Ukimuuliza mtu akutajie mambo 3 ya muhimu sana kwenye Maisha yake ni wachache wataweza kukujibu kwa usahihi nikiwa na maana kwamba walikuwa wanayajua kabla hujawauliza. Ni…
-
November 28, 2018
403; Maneno Yao Sio Uhalisia Wako.
Wanaweza Kusema yule jamaa alifeli shule hajaweza kufika hata chuo hawezi chochote. Wanaweza kusema yule dada kila mahusiano yamemshinda hawezi kutulia na mwanaume. Wanaweza k…
-
November 27, 2018
402; Mtu Huyu Anakudanganya.
Ulishawahi kutaka kukutana na mtu akakujibu kwamba hana muda? Umewahi kujiuliza ni kwanini anasema hana muda? Je kuna ukweli wowote pale anapokwambia hana muda? Wanadamu wote…
-
November 26, 2018
401; Kila Kitu Kilianza Kama Wazo.
Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwegu huu kila kitu kilianza kama wazo. Mungu alikaa akawaza kuleta uhai katika sayari ya dunia baada ya sayari hii kuwa…
-
November 18, 2018
Ni wewe Mwenyewe Umechagua 18/11/2018.
“Mwaka 2016 tulikuwa kwenye msiba wa jirani yetu ambaye alifiwa na mama yake. Siku hiyo watu walikuwa wanalia sana na kusikitika kwa kifo kile kilichotokea. Kitu…
-
November 9, 2018
VITU 5 UNAVYOPASWA KUVIFAHAMU ILI UWEZE KWENDA NA KASI YA MABADILIKO-9/11/2018
Tupo kwenye dunia ambayo kila kukicha kunakuwa na mabadiliko mapya katika sehemu mbalimbali hasa za kiteknolojia. Kama mwanadamu ukishindwa kwenda na kasi hii kuna mambo mengi…
-
November 8, 2018
Usisubiri Hadi Ujisikie Vizuri-8/11/2018
Ni kweli hakuna kuchelewa katika mafanikio yaani hata kama una miaka 60 sasa hivi bado unaweza kuchukua hatua na kuitimiza ndoto yako. Wapo pia watu wanasema…
-
November 3, 2018
Hutaondoka Ukiwa Hai -3/11/2018
Kwa vyovyote vile hata kama utaogopa kufanya mambo yaliyo makubwa, hata kama utaogopa kupoteza pesa zako bado huwezi kuondoka duniani ukiwa hai. Kama unaogopa kupata msongo…
-
November 2, 2018
Kufanikiwa au Kufa-2/11/2018
Kama unafikiri kutafuta pesa ni ngumu basi jaribu kukaa bila pesa uone ilivyo rahisi. Naomba nikwambie Rafiki mafanikio sio lelemama yaani sio kitu ambacho kinakuja chenyewe…
