MBINU ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 20, 2018
NGUVU MPYA 419; Inuka hapo, Kuna Mwingine Ana Zito Zaidi Ya Lako.
Mahali ulipo sasa hivi na hayo unayopitia unaweza kuyaona ni magumu sana. Unaweza kufikia hatua ya kujutia hata kwanini ulizaliwa kwasababu unajiona kama wewe pekee ndie…
-
December 19, 2018
418; Fanya Kitu Hiki Muhimu Siku Chache Zilizobakia Mwaka Huu.
Pamoja na kwamba inawezekana unaona kama mwaka huu mambo hayajaenda sawa kabisa na malengo mengi hayajatimia bado una nafasi ya kumaliza mwaka vizuri sana. Kuna mambo…
-
December 18, 2018
417; Ukianzia Juu Utashuka Chini.
Mojawapo ya vitu ambavyo huanza juu havipendezi sana na sio vizuri mfano wa haraka ni shimo. Shimo linachimbwa kwa kuanzia juu kwenda chini na shimo linaweza…
-
December 18, 2018
416; Huwezi Kujua Kama Wewe Ni Jasiri Bila Hiki.
Ukikutana na watu wawili wanagombana na mmoja anasema ntakupiga,ntakuumiza halafu hafanyi chochote bali anaendelea kusema t umara nyingi mtu huyo huwa ni mwoga. Mwoga hutish…
-
December 17, 2018
415; Huwezi Kuwa Kamili Jikubali Ulivyo.
Siku zote kama unaishi na watu ambao unaona kama wamekuzidi vitu vingi, utakuwa unajiona wewe ndio hujakamilika. Unaweza kuona wengine wanavaa vizuri kuliko wewe, wanakula viz…
-
December 15, 2018
414; Hujachagua Kuzaliwa, Hujui Utakufa Lini, Unaweza Kimoja Tu.
Maisha ni ya ajabu sana, unazaliwa bila idhini yako mwenyewe, pengine hata wazazi wako hawakutarajia wala kupanga wewe uzaliwe. Na hata kama wakipanga hawawezi kujua kabisa…
-
December 14, 2018
413; Huwezi Kutatua Usichokifahamu.
Mimi ni fundi wa kompyuta, inapotokea kompyuta ninayotumia imezima ghafla siwezi kukimbilia kwenda kubadili ule mfumo unaoendesha kompyuta nzima (windows). Hiyo inaweza kuwa n…
-
December 13, 2018
412; ImetoshaSasa, Ni Wakati Wako.
Imetosha kuendelea kuwa mtu wa kawaida, Imetosha Kuendele kuitwa maskini. Imetosha kuendelea na hali ile ile ya Maisha kila wakati. Ulisemwa hauwezi kufanya chochote kwasababu…
-
December 12, 2018
411; Wewe ni Hodari Kwenye Nini?
Kila mtu kuna sehemu ambayo ni Hodari sana kuliko sehemu nyingine. Na hili ndio mojawapo ya mambo yanayotutofautisha wanadamu, unaweza kuwaleta watu kumi wanaofanya kitu kimoj…
-
December 9, 2018
410; Unastahili, Usiangalie Nje Yako.
Kuna nyakati unaweza kukutana na fursa mbele yako kabisa halafu ukapishana nayo kama vile hukuiona kwasababu unajiona hustahili. Kuna mambo makubwa yanaweza kujisogeza karibu…
-
December 7, 2018
409; Imani Yako Itakuponya au Itakuua.
Katika Biblia vitabu vya Injili tunamwona Bwana Yesu akitenda miujiza kwa kuwaponya vipofu, viwete,na wenye madhaifu ya aina mbalimbali. Siku moja mwanamke alietokwa na damu k…
-
December 6, 2018
408; Utaweza Kuvumilia?
Inawezekana unayatazama Maisha ya watu waliofanikiwa na kujikuta unatamani sana kuishi kama wao na kujiona wewe unaishi Maisha ambayo ni duni sana. Ukweli ni kwamba kuna…
