KONA YA BIASHARA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 11, 2017
KONA YA BIASHARA: Mabadiliko Yanakuja Utabaki Salama?
Kwenye chochote kile ambacho unakitegemea katika kukuletea pesa iwe ni biashara au ajira ni vyema kujiuliza swali hili kwamba, kutokana na mabadiliko yanayokuja kila wakati h…
-
October 7, 2017
KONA YA BIASHARA: Usiyumbishwe na Mawazo Mapya.
Ukiamua kuwaza juu ya mawazo ya biashara na ukaweka ufahamu wako vizuri kila sehemu utakayokwenda utakuwa unaona fursa na mawazo mbalimbali ya biashara. Kitu kimoja kinaweza…
-
October 3, 2017
KONA YA BIASHARA: Jipe Muda wa Kusubiri matokeo
Utaishia Kuwa mtu wa kuvunjika moyo siku zote kama utakuwa unatarajia mambo yaende kama vile ulivyopanga na unavyotaka. Siku zote tunapanga na tunatarajia lakini mambo yanawez…
-
October 3, 2017
KONA YA BIASHARA: Kwanini Unafanya Hiyo Biashara?
Mojawapo ya vitu vinavyofanya biashara nyingi zikwame au zifike mahali zikose mwelekeo ni wengi kutokujua kwanini wapo kwenye biashara wanazofanya. Wakati mwingine unaweza kuj…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Hii Ndio Njia Pekee Itakayokusaidia kupata Wateja Wa Kudumu.
Sifa ya binadamu ambayo tumejijengea na ni kubwa sana ni pale kujenga mazoea Fulani na mazoea yale yanakuja kuwa tabia zetu. Na siku zote mtu anapokizoea…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Mbuyu Ulianza kama Mchicha.
Nionyeshe mti mmoja imara ambao umekua kwa siku chache. Ukweli ni hakuna miti mingi ambayo hukua haraka haidumu wala mashina yake sio imara kama miti inayochukua…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Biashara za Kufanya Kama Huna Mtaji Kabisa.
Unapokuja na sababu ya kwamba kinachokuzuia ni kukosa mtaji unakuwa umeizuia akili yako haki yake ya msingi kabisa ya kufikiri. Kwenye mazingira uliyopo kama una watu…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Epuka Tabia Hii
Jambo Moja unalopaswa kukumbuka kila wakati unapokuwa kwenye biashara yako ni hili EPUKA MAZOEA. Mazoea ni sumu mbaya sana ambayo inaweza kukusababisha ukaanza kumtafuta aliek…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Makosa 3 Unayofanya na Yataua Biashara yako.
Leo kwenye kona ya biashara tunaangalia makossa matatu ambayo unafanya na yataua biashara yako siku si nyingi. Kama kawaida ni mambo madogo sana ambayo yanaweza kusababisha…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Hakuna Uhakika 100%.
Katika mambo tunayofanya kila siku kwenye Maisha yetu pamoja na kuwa na imani kubwa, hamasa na matarajio makubwa hakuna mwenye uhakika asilimia mia moja kwamba mambo…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Ongezeka Wewe Kwanza.
Kwenye biashara nyingi unaweza kukutana na watu wanalalamika biashara zao hazikui, hakuna kinachoongezeka hali ni ile kwa muda mrefu. Ukija kuchunguza Zaidi unakutana na shida…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Neno Samahani Linavyombakisha Mteja.
Kinachofanya ubaki kwenye soko sio jina lako kubwa ulilonalo, sio bidhaa yako nzuri peke yake. Kuna vitu vya ziada lazima ufanye ili uendelee kubaki. Bahati mbaya…
