Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 13, 2017
HATUA YA 89: Upendo Ni kupoteza..
Maana ya upendo ni kupoteza baadhi ya vitu ili upate kile unachosema unakipenda. Kama wewe unasema unapenda mafanikio upo tayari kupoteza nini ili uyapate hayo mafanikio?…
-
March 12, 2017
HATUA YA 52: Negative Thinking (Mawazo Hasi).
Mawazo hasi ni mojawapo ya vitu ambavyo vinaharibu Maisha ya watu wengi kwa namna mbalimbali. Mawazo hasi mara nyingi humjia mtu pale anapokata tamaa, anapopitia magumu,…
-
March 12, 2017
HATUA YA 88: Kama Maana ya Mafanikio Kwako Ni Hii Unajidanganya…
Watu wengi unapozungumzia mafanikio wanajijengea picha Fulani kubwa ya kuifikia huko baadae sana. Lakini wanasahau kwamba baada ya kuifikia hiyo picha ili picha iendelee kuwep…
-
March 11, 2017
HATUA YA 87: Chagua Kushinda
Chochote unachotaka kukikamilisha kwenye ulimwengu wa nje lazima uanze kukikamilisha katika ulimwengu wako wa ndani. Yaani lazima uanze kupata picha ya kitu hicho katika ulimw…
-
March 10, 2017
HATUA YA 86: Tabasamu..
Moja wapo Ya vitu vinavyowavuta watu kwako Zaidi ni kupitia kitendo cha kutabasamu. Watu wengi wamejikuta wakiingizwa mtegoni kwa kuvutwa na tabasamu. Wengine wamevutwa na tab…
-
March 9, 2017
HATUA YA 85: Huu Ndio Ukweli Kuhusu Mabadiliko…
Watu wengi wanahamasika sana wakisikia neno mabadiliko lakini hawaelewi hasa ni vitu gani wanatakiwa kufanya ili wayapate. Tunapokuja kwenye kuchukua hatua ili kupata mabadili…
-
March 8, 2017
HATUA YA 84: Unapopitia Changamoto hii…
Kuna wakati unaweza kupitia magumu sana kwenye dunia hii ukadhani upo mwenyewe. Kuna wakati ukadhani mbona ni wewe tu yanakukuta? Najua ulishwahi kujiuliza mambo kama haya.…
-
March 7, 2017
HATUA YA 83: Kitu Cha Thamani ni Hiki Hapa….
Mara nyingi tumekuwa tunavutiwa na mambo ya wengine wanayofanya, nguo wanazovaa, vitu wanavyomiliki na hadi kuviona hivyo ni vya thamani kuliko vile tulivyo navyo. Ukweli ni…
-
March 6, 2017
HATUA YA 82: Kutoa Na Kupokea.
Kamwe usitegemee kupata kinyume cha kile unachotoa. Kama utatoa chuki kwa watu utarudishiwa chuki. Ukionyesha upendo utapokea upendo. Kutoa na kupokea ni sheria ya asili ambay…
-
March 5, 2017
HATUA YA 81: Kitu Gani Kimetawala Mawazo Yako?
Mojawapo ya vitu vinavyowafanya watu wapoteze mwelekeo na kusahau ndoto zao ni kujaza mambo mengi kwenye akili zetu yasiyo na umuhimu. Kama akili yako inakuwa imetawaliwa…
-
March 4, 2017
HATUA YA 80: Washangaze kwa Vitendo..
Wako wengi sana walipokuona unaanza walikukatisha tamaa na kusema kwamba hutaweza jawabu sio kurudi nyuma. Unatakiwa uwashangaze, waonyeshe kuwa umedhamiria kabisa kufanya hic…
-
March 3, 2017
HATUA YA 79: Huyu Ndiye Mtu wa Muhimu Kuliko Wengine..
Duniani kuna watu wengi sana bilioni saba lakini kuna mtu mmoja wa muhimu sana kuliko wengine wote. Ni muhimu sana ukamtambua ili aweze kukupa mchango wake…
