Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 20, 2017
HATUA YA 96: Jitafute Mwenyewe Kwanza.
Kama bado hujajitafuta na kutambua wewe ni nani huwezi kujua watu wapi ni sahihi kwenye Maisha yako. Kazi ya kwanza ambayo unapaswa kuanza kuifanya ni kujitafuta…
-
March 19, 2017
JIPATIE KITABU CHA SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO
Habari za leo Rafiki Yangu. Ningependa kukushukuru kwa wewe kuchukua muda wako na kusoma Makala mbalimbali ninazotuma kwenye email yako karibia kila juma. Leo nina zawadi…
-
March 19, 2017
HATUA YA 95: Amua Kuanza Sasa..
Unaweza kupoteza vyote lakini huwezi kupoteza uwezo ambao Mungu ameweka ndani yako. Unaweza kupoteza cheti cha chuo lakini uwezo na maarifa yaliyoko kichwani bado yana uwezo…
-
March 18, 2017
HATUA YA 94: Thamani ya Kitu…
Mara nyingi wanadamu tunatafuta vitu kwa nguvu kubwa sana. Huku tukiwa na mawazo kwamba baada ya kuvipata tutavifurahia sana. Kitu cha ajabu ni kwamba baada ya…
-
March 17, 2017
HATUA YA 93: UKosefu wa Nidhamu..
Tulipokuwa shuleni tulikuwa na mwalimu wa nidhamu. Kazi ya mwalimu huyu alikuwa anahakikisha tunakuwa na tabia ambazo haziwezi kuleta uharibifu shuleni. Hata kama shule iwe ni…
-
March 16, 2017
HATUA YA 92: Kubali Kwamba Hujui…
Ili uweze kujifunza mambo mengi Zaidi lazima uanze kukubali kwamba hujui chochote. Hata kama una vitu vingi sana ndani ya kichwa chako bado una vitu vya…
-
March 16, 2017
Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira
Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha…
-
March 15, 2017
HATUA YA 58: Hofu ya Kukataliwa/Kupingwa
Kwenye Safari yetu ya mafanikio mara nyingi pale inapotokea unataka kufanya kitu cha tofauti ambacho hujawahi kukifanya kabla unaanza kukutana na hofu ndani yako. Hofu mojawap…
-
March 15, 2017
HATUA YA 91: Vitu Hivi Vinaondoa Umakini.
Tuko kwenye zama ambazo kuna vitu vingi sana ambavyo vinaonekana kwama ni vya muhimu sana kuliko vingine lakini havina umuhimu wowote. Tuna mambo mengi sana ambayo…
-
March 14, 2017
HATUA YA 55: Una Nini Mkononi?
Kwenye Kitabu Cha Biblia Musa alipokuwa anawatoa wana wa Israel kutoka Misri kuelekea Kaanani, walikwama kwenye bahari ya Shamu. Wana wa Israel kama kawaida yao wakaanza…
-
March 14, 2017
HATUA YA 90: Jua Unapokwenda..
Kitu kingine kinachowafanya watu waishie kutapatapa kwenye Maisha haya ni kutokujua au kusahau kule wanapokwenda. Ukishindwa kujua kule unapoelekea utajikuta Maisha yako yanae…
-
March 13, 2017
HATUA YA 53: Madhara ya Kukaa na Watu Hasi.
Watu Wanofikiri Hasi kwenye Maisha, mara nyingi hukosoa au kutoa sababu ambazo zinawatetea pale walipo. Watu Hasi wanaweza kuwa sababu ya wewe kutokwenda mbele kwenye mafaniki…
