Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
May 5, 2017
HATUA YA 138: Hii ndio Dawa ya Waliokuumiza..
Watu wote waliouumiza moyo wako dawa yao sio wewe kuwaumiza tena. Huwezi kuuzima moto kwa kumwagia petrol kulipiza kisasi ni sawa na kumwagia petrol moto unaowaka.…
-
May 5, 2017
HATUA YA 141: USIISHIE NJIANI
Kuna tabia ambayo inawakumba watu wengi na inawafanya washindwe kufikia kule wanakotaka kwenda. Tabia ya kuishia njiani, mara nyingi huletwa na kukata tamaa au kuridhika na…
-
May 4, 2017
HATUA YA 140: Kutamani Usichokistahili..
Kutamani usichokistahili kunakusababisha uingie kwenye mitego ambayo inaweza kusababisha maisha yako yaharibike. Chochote unachokiona kizuri mbele yako kama huwezi kukil…
-
May 3, 2017
HATUA YA 139: Hukumu Inayoanzia Ndani.
Kabla watu hawajaona maovu yako ni vyema sana wewe mwenyewe ukaweza kujigundua ulipokosea na nafsi ikaanza kukusuta. Watu wengine hawana nguvu yeyote kubwa sana Zaidi ya…
-
May 1, 2017
HATUA YA 137: Vitu Vya Muhimu Kukusaidia Kusogea Mbele.
Maisha yanasonga mbele, siku zinasogea leo ni Tarehe 1 May 2017 unasonga mbele? Malengo yako yanatimia? Muda unasonga mbele inawezekana wewe umesimama. Mipango yako haikwendi…
-
April 29, 2017
HATUA YA 136: Kukua Kiroho..
Katika Maisha yetu hapa duniani yapo mengi tunafanya ambayo yanakuwa msaada kwenye Maisha yetu kila siku. Bahati mbaya sana kuna mengine ya muhimu sana tunasahau na…
-
April 28, 2017
HATUA YA 135: Namna Bora ya Kujijengea Heshima.
Kwenye jamii zinazotuzunguka mara nyingi utakutana na watu wanaotamani kuheshimika. Ukiachana na kuwa na pesa nyingi au kumiliki mali nyingi zipo njia ambazo unaweza kuzitumia…
-
April 27, 2017
HATUA YA 134: Wewe Ndiye Mwenye Ramani.
Wewe ndie mwenye ramani ya Maisha yako. wewe ndiye kiongozi wa Maisha yako. usitembee kama mtu ambaye hajui anapokwenda wakati ramani umebeba mkononi mwako. Usiogopeshwe na…
-
April 26, 2017
HATUA YA 133: Mafanikio Yanagusa Sehemu Hizi Tatu Muhimu.
Mojawapo ya Makosa wengi tunafanya ni kuweka nguvu sehemu moja ambayo ni kutafuta pesa halafu tukasahau sehemu nyingine za muhimu sana. Kama utatumia nguvu zako zote…
-
April 24, 2017
HATUA YA 130: Nguvu ya Uthubutu na Kuchukua Hatua
Jambo lolote unalotamani kulifanya linaanza na uthubutu wa kuchukua hatua ya kwanza, kama hutajaribu kuanza kupiga hatua hautaweza kwenda mahali popote. Mtoto mdogo anaweza ku…
-
April 24, 2017
HATUA YA 131: Hiki Ndio Cha Muhimu Kuliko Vingine kwenye Biashara Yako.
Kwenye dunia ya sasa tunaelekea kwenye kipindi ambacho kila kitu unachokifanya kuna mwingine anafanya. Kama ni biashara unafanya kuna mwingine anaweza kufanya kama wewe. Kutok…
-
April 22, 2017
HATUA YA 129: Ng’ombe Hachoki Kutoa Maziwa lakini….
Ni kweli Ng’ombe hachoki kutoa maziwa lakini lazima kwanza awe anapata chakula cha kutosha kila siku. Kuku hachoki kutaga kila siku lakini ili aweze kutaga kila…
