Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
May 17, 2017
HATUA YA 152: ULIITWA MAJINA YA WANYAMA?
Tulipokuwa wadogo mara nyingi tunapokosea wazazi wetu wengi walikuwa wanatuita majina ya wanyama. Kulingana na tabia zako, inawezekana ulishawahi kuitwa, kondoo, mbuzi, ng…
-
May 16, 2017
HATUA YA 151: UTALIWA NA MAMBA..
Jana katika matembezi yangu pembezoni mwa ziwa Victoria nilikutana na watu wakiogelea. Kwasababu kule kwetu hatuna maziwa wala mito inayovutia kuogelewa nikasema ngoja niongez…
-
May 14, 2017
USITAZAME LEO
Leo vita ni vingi sana, Leo hakuna mavuno bado. Leo wanakusema wengi Leo inaonekana kama ni ngumu sana. Leo inaonekana kama utakwenda kushindwa. Leo inakatisha tamaa…
-
May 14, 2017
HATUA YA 150: Jifunze Kusimama Mwenyewe.
Kuna nyakati utapitia kama hujajifunza kusimama mwenyewe utaanguka au utarudi kwenye hali uliyoizoea. Lazima ufikie sehemu ambayo utaanza kutembea na kusimama mwenyewe. Hii ni…
-
May 13, 2017
HATUA YA 149: Tatizo Unajihurumia Sana.
Unajihurumia sana ndio maana hupigi hatua yeyote ya mafanikio. Ni mara ngapi umejaribu kufanya kitu cha tofauti hadi mwili wako na akili yako ikapata uchovu ambao…
-
May 12, 2017
HATUA YA 148: Jijengee Tabia ya Kumaliza.
Kama utakuwa na mambo mengi uliyofanya na kuyaacha nusu nusu hapo unakaribisha uvivu. Kuchoka sana kunasababishwa na kazi nyingi unazofanya na kuziacha bila kuzimaliza. Mara z…
-
May 11, 2017
HATUA YA 147: Kama Ni Rahisi Kuna Mahali unakosea…
Nilipokuwa shuleni mojawapo ya somo nilikuwa nalifanya vizuri ni somo la hesabu. Sasa kitu ambacho nilikuwa nakiona hasa kwenye maswali ya hesabu ni kwamba pale swali…
-
May 10, 2017
HATUA YA 146: Wakati Mwingine Unahitaji Kitu Hiki ili Usonge mbele.
Kuna nyakati tunapitia magumu mengi sana kwenye Maisha hata unatamani kuacha kabisa kile unachokifanya. Kama huna maono imara unaweza kujikuta unarudi nyuma mara moja. Ili uwe…
-
May 9, 2017
HATUA YA 145: Matarijio ya wengine Vs Matarajio Yako..
Kwenye vitu tunavyofanya kila siku kuna mambo mawili huwa yanatuendesha katika kufanya. Inawezekana wewe upo upande mmoja wapo lakini lazima uchague kitu ambacho kitakuletea f…
-
May 8, 2017
HATUA YA 144: Tabia Hizi zinakunyima Mafanikio..
Sijawahi Kuona Tajiri mlevi hata siku moja, yaani anaelewa hadi anasahau viatu? Sijawahi kuona tajiri ambaye ana tabia za kushinda baa akilewa. Kama unakumbuka ukiwa mdogo…
-
May 7, 2017
HATUA YA 143: JINSI YA KUITUMIA PESA IKUZOEE!
Kuna misemo ambayo ni ya ajabu sana nilikuwa naona watu wakiizoea kuitumia kipindi Fulani. Ukweli ni kwamba misemo hii inaweza kuwa sababu moja wa shida kubwa…
-
May 6, 2017
HATUA YA 142: Wengine Wanafanyaje, Wewe Unafanyaje?
Wakati mwingine lazima ujiulize maswali hasa pale unapofanya jambo moja linalofanana na wengine. Wenzako wanasonga mbele lakini wewe umebaki nyuma. Lazima ujiulize maswali ili…
