Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
July 29, 2019
499; Njoo Uchukue Milioni Kesho.
Ikitokea Rais amesema vijana wote kesho tukutane nae pale Posta Dar es Salaam Atakuwa anagawa Tsh 1m ukafanyie chochote unachotaka, popote ulipo bila kujali unafanya nini…
-
July 29, 2019
498; Huwezi Kunizuia Tena.
Unajua hakuna kisichowezekana kwenye dunia hii endapo utakuwa umeweka nia ya dhati ya kutaka kufanikisha. Endapo utaamua kwamba hakuna chochote kinachoweza kukuzuia tena, ukik…
-
July 22, 2019
497; Chuki Za Kijinga.
Unaweza ukashangaa sana kumkuta mama anawafurahia Watoto wa wengine na kucheka nao vizuri sana lakini wakati huo huo anamchukia sana mtoto alieko nyumbani kwasababu ni mtoto…
-
July 20, 2019
496; Ni Mtu Mpya Anatengenezwa.
Njia pekee ya kupata juice ya nanasi ni kulisaga na kulikamua nanasi. Kwa kawaida inaonekana kama ni kuharibu lakini ndio njia ya kupata juice. Kuna mambo…
-
July 18, 2019
Jinsi Ya Kufanya Chaguzi Sahihi kwenye Ulimwengu Wenye Chaguzi Nyingi.
Jiunge na Blog Hii upate makala moja kwa moja kwenye email yako weka email yako hapa
-
July 16, 2019
MBINU ZA KUKUZA BIASHARA YAKO KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM
Habari nimekuwekea video mpya kwenye youtube inayoelezea mbinu za kukuza biashara yako kwenye mtandao wa Instagram, tazama, jifunze na usisahau ku subscribe.
-
July 9, 2019
495; Toka Kwenye Maboksi Ya Wengine.
Kuna vile unajihisi wewe haupo sawa kisa tu maisha yako hayafanani na ya fulani. Elimu yako haiendani na watu fulani, huna cheo cha maana kwenye kazi.…
-
July 8, 2019
494; Endapo Maisha Yote Uliyoishi Mpaka Sasa Yangekuwa ni Ndoto.
Habari Rafiki, leo naomba ujiulize swali hili la msingi sana. Iwapo umeamka asubuhi halafu ukajitazama ukakuta umerudi nyuma miaka 10 au ishirini iliyopita. Yaani kumbe yote…
-
June 12, 2019
493; USIWATHIBITISHIE. (DON’T PROVE THEM WRONG)
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona watu wanafanya vitu mbalimbali kama ujasirimali, biashara fulani, kazi Fulani, ili tu kuwathibitishia watu fulani waliokuwa wanawaona wao hawaf…
-
June 6, 2019
492; UTABAKI KAMA ULIVYO USIPOBADILI IMANI.
Tumekuwa tukiishi kutokana na picha ambazo tumejengewa na wale watu tulio waamini sana. Watu hawa wanaweza kuwa ni wazazi wetu, ndugu zetu, viongozi wet una hata…
-
May 28, 2019
491; Waache Waondoke.
Kuna aina ya watu wanaweza kuja kwenye Maisha yako na kusababisha upoteze kabisa muelekeo wa Maisha. Kile ambacho umekuwa unakipigania na kukisimamia kikaanza kushuka na kupot…
-
May 25, 2019
490; KABLA HUJAMFANYIA MTU UBAYA JARIBU KUONA KWA JICHO HILI.
“Nakumbuka siku moja nikiwa hapa Arusha kabla sijaoa nilipanda daladala kuelekea Tengeru kwenye shughuli zangu za kila siku. Ninaishi Arusha Sanawari hivyo magari mengi ya Ten…
