Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
November 13, 2019
510; Ninajihisi Kama Mtu Aliekwama Kwenye Tope.
“Kaka Jacob naomba ushauri wako, sijui hata nifanyeje, huu ni mwaka wa 5 sasa nimekuwa najaribu kuingia kwenye mahusiano tofauti tofauti lakini naambulia kuachwa na kuumizwa.…
-
October 2, 2019
509; Penda Tatizo Unalotatua.
Nipo natazama nyimbo YouTube nimekutana na wimbo uliwekwa mwaka 2009. Huo wimbo kwa mimi kuutazama leo pamoja na wengine wengi huyo mwimbaji atalipwa na YouTube (Google)…
-
September 19, 2019
VIDEO: Mambo 4 ya Kufanya Unapoamka Asubuhi.
Usiache Ku Subscribe ili ujifunze kwa video nyingine zaidi.
-
September 6, 2019
508; Atawainua Kunguru Wakulishe.
1 Wafalme 17:4,6 [4] Itakuwa utakunywa maji ya kile kijito; nami nimewaamuru kunguru wakulishe huko. 6. Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi, na mkate na nyama…
-
September 4, 2019
507; Yanapotokea Usiyoyatarajia.
Ni kweli mtu unaweza kuwa na fikra hasi juu ya Maisha yako lakini hakuna mtu hata mmoja anaetaka zile fikra hasi zitokee. Kinachomfanya mtu ajikute anawaza…
-
August 24, 2019
506; Nilimwona Akiingia Gesti Jana Jioni
Ni mara ngapi umewahi kuambiwa kuhusu wengine, mfano; “Nilimwona Fulani akiingia Gesti Jana”, “Fulani ana Mwanamke Mpya” na mengine mengi. Ukweli ni kwamba huenda umeyasikia s…
-
August 15, 2019
505; Mama Usimtukane Mwanao.
Nilikuwa napita katika mitaa ya uswahilini hapa Tandika, sasa nikakutana na mama mmoja anamwogesha mwanae wa kiume. Sasa yule mtoto akawa anasumbua sumbua, yule mama akamporom…
-
August 8, 2019
504; Nyama Kilo 1 ni Tsh elfu moja.
Embu jiulize leo bei ya nyama kilo moja ni Tsh elfu tano hadi elfu saba kulingana na maeneo, sasa ukipita mahali ukakuta kuna nyama ya ng’ombe…
-
August 7, 2019
503; Msikilize Mungu.
Wanadamu wana tabia ya kuongea bila kufahamu na ukifanya makossa ukawasikiliza wanaweza kukupoteza. Tukimtazama kijana Daudi aliekuwa mchunga kondoo porini, baba yake na ndugu…
-
August 1, 2019
502; Sio Kuringa, Ni Kwa Usalama Wako.
Kuna zile nyakati katika Maisha unakuwa katika kupambana huku na kule ili japo upate namna ya kuweza kuinuka na kufikia hatua Fulani ya Maisha. Sasa kuna…
-
July 31, 2019
501; Kutafuta Samaki Msituni.
Jaribu kuvuta picha upo katikati ya msitu, unatafuta samaki. Umejipanga kila kitu unacho, una chambo za kutosha, una vifaa vya kubebea na pia una hamasa na…
-
July 30, 2019
500; Ikatokea Umesahau Kila Kitu.
Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Endapo itatokea umelala kisha ukaamka hukumbuki…
