USIISHIE NJIANI
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
November 12, 2016
Jipatie Maarifa haya Ndani ya Siri 7
Habari, Jipatie kitabu Siri 7 za Kuwa Hai Leo na ujifunze mambo haya yafuatayo. 1. Tambua kwanini upo Hai Leo na uweze kutumia nafasi hiyo kutengeneza…
-
November 10, 2016
SIMAMA KWENYE NAFASI YAKO.
Kila mmoja ana kitu ambacho amezaliwa kukifanya hapa duniani. Inawezekana bado hujatambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani. Ni muhimu sana kutambua. Simamia nafasi ya…
-
November 7, 2016
Fanya Kama Hutafanya Tena.
Hatuishi mara mbili duniani, ukishaondoka umeondoka. Katika vitu muhimu sana vya kufanya unapofanya chochote ni kukifanya kama hutakaa uje ufanye tena. Kama umekutana na mtu m…
-
November 6, 2016
FUNGUO: TAARIFA.
Habari za siku ya leo Rafiki natumaini unaendelea vyema.Leo kwenye kipengele cha funguo tunaangalia kitu kinaitwa taarifa. Taarifa ni zile habari au maelezo unayoyapokea. Zipo…
-
November 2, 2016
Millionaire Mindset Training
Kokote kule utakapo kwenda utakutana na binadamu wenye tabia za tofauti na kuna kitu cha kujifunza kwao. Wengine watakua wazuri kwako, wengine watakuumiza, wengine hawat…
-
October 28, 2016
Hakuna wa Kukuzuia
Katika zama hizi za Ulimwengu wa Kiteknolojia mambo mengi sana yamerahisishwa mno. Kwa chochote unachokifanya kama kinahitaji kuwafikia watu njia za kuwafikia zimekua rahisi s…
-
October 25, 2016
FUNGUO ZA MAFANIKIO 1: KUBALI WANAYOFANYA WENGINE.
Habari za Leo rafiki na msomaji wa Blog hii. Natumaini wewe ni mzima kiafya, na pia unaendelea vyema katika mapambano ya kuboresha maisha yako. Tunakwenda kuona…
-
October 24, 2016
SIKU TULIVU.
Haijalishi unapitia magumu kiasi gani wakati huu, naendelea kukutia moyo kwamba unakoelekea kuna matumaini makubwa, ndoto yako inakwenda kutimia. Yawezekana umefika sehemu una…
-
October 21, 2016
Hasira zinazoleta mabadiliko.
Habari za siku ya leo ni matumaini yangu kwamba unaendelea mbele vyema. Leo tunakwenda kuiona hasira ambayo inaleta mabadiliko katika maisha yetu. Kila kitu kilichopo ndani…
-
October 20, 2016
Usipojua unachotaka
Huwezi kupewa, Huwezi kuonyeshwa jinsi ya kukipata, Hata ukipata hutajua kama umekipata maana hujui unachotaka. Huwezi kujua cha kufanya utafanya kila kinachokujia mbele yako.…
-
October 17, 2016
Wasamehe.
Wako wengi sana waliokuumiza moyo katika safari yako na inawezekana uliumizwa sana na hata kusema hutasamehe. Leo ni nafasi ya kwako kuondoa yote ndani ya moyo…
-
October 16, 2016
BURE INAVYOKUFANYA UWE MTUMWA
Habari za leo mpendwa Rafiki msomaji, ni matumaini yangu unaendelea vyema sana na majukumu yako kila siku. Leo katika kipengele cha tabia tunakwenda kuangalia vitu vya…
