MAISHA NA MAHUSIANO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
March 26, 2019
477; Sio Yako Hadi Pale Utakapoitoa Kichwani.
“Kuna kipindi Fulani nilisafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kikazi. Nilipofikia kwenye familia moja ambayo ilikuwa inanifahamu. Sikuwa nawafahamu sana watu kwenye ile fa…
-
March 22, 2019
476; Unahitaji Watu Zaidi Kuliko Unavyohitaji Pesa.
Mtu Tajiri kuliko wote duniani kwa haraka haraka ukifikiria unaweza kudhani kilichomfanya akawa Tajiri ni pesa zake au akili zake pekee. Ila ukija kutafakari katika upande…
-
March 20, 2019
475; Huu ndio Ukosoaji Ninaoupenda.
Mwanzoni simu za smartphone zilipoanza kuja kulikuwa na tatizo kubwa la simu hizo kutokukaa na chaji. Baada ya muda sio mrefu wakaja watu wakaleta Power Bank…
-
March 20, 2019
474; USHAURI: Unapofika Wakati Unaona Maisha Yako Hayana Maana wala Thamani Tena.
Nilikuwa napitia maisha ya mwandishi mashuhuri kutoka Brazil, Paulo Coelho aliendika vitabu vingi kikiwemo cha The Alchemist. Mojawapo ya jambo gumu alilowahi kupitia maishani…
-
March 18, 2019
472; Mbinu za Kuweza Kuwa na Furaha Wakati Wote.
Kuna utafiti ulifanyika wa kidunia ukaja na majibu ya nchi zinazoongoza kwa kukosa furaha duniani. Mojawapo ya nchi iliyotajwa ilikuwa ni nchi ya Tanzania, kwasababu mimi…
-
March 18, 2019
469; UsiishieNjiani: Sio Mhamasishaji ni Wewe.
Katika kazi yetu hii ya kushauri, kutia moyo, na kuhamasisha watu huwa tunakutana na changamoto. Mojawapo ya Changamoto kubwa ni pale mtu anapokuuliza wewe umeshafanya nini…
-
March 17, 2019
468; Watu Sahihi, Watu Wazuri.
Kwenye Maisha tunawahitaji watu sahihi. Watu Sahihi sio lazima wawe Wazuri kwetu wanaweza kuwa watu wabaya lakini ni sahihi. Kusudi la hao watu kwenye maisha yetu…
-
February 18, 2019
449; #USIISHIENJIANI LEO: Unakuwa Kile Unachozungumza.
Kuna mstari unasema “Kimtokacho mtu ndicho Kimjazacho” yaani kile unachoongea ndio kimejaa ndani yako. Ili uweze kubadilisha kinachotoka ndani yako anza kubadilisha unachoingi…
-
February 17, 2019
448; #USIISHIENJIANI LEO: Ipo Ndani Ya Uwezo Wako.
There is nothing happens to any person but what was in his power to go through with.-Marcus Aurelius Hakuna kitu kinamtokea mtu ambacho hakipo ndani ya…
-
February 17, 2019
447; USIISHIENJIANILEO: Sumbua Sumbua Watu Upate Haki Yako.
Nakumbuka mwaka 2016 nilifuatwa na watu mbalimbali wakiomba ushauri na Msaada wa Maisha na biashara. Mtu Anaweza kupiga simu akiwa na hamasa sana ukamwambia nipigie jioni…
-
February 14, 2019
446; #usiishienjianileo: Watu Waovu Wanahitaji Kupendwa.
Kumchukia muovu hakusababishi aache uovu wake bali kuchukia vitendo viovu na kuvikemea. Sisi wanadamu tumekuwa wepesi sana kuwahukumu wenzetu na kuonesha waziwazi kwamba wanas…
-
February 13, 2019
445; #usiishienjianileo: Ukiwa Juu Unaonwa na Wengi.
Habari Rafiki, ninayofuraha kukujulisha kwamba Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Watakaofanya ma…
