MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
August 30, 2018
UNAITUMIA MITANDAO YA KIJAMII AU INAKUTUMIA WEWE?
Kwa kijana ambaye umefanikiwa kuwepo kwenye karne hii ya 21 ukisema kwamba huna njia ya kufanikiwa utakuwa unajiaibisha. Mabadiliko makubwa sana ya kiteknolojia yaliyopo sasa…
-
August 10, 2018
UA KWANZA MZIMU HUU UNAOKUTESA ILI UFANIKIWE.
Kinachofanya ukwame ni vile unapoteza muda kurekebisha makossa ambayo uliyafanya. Kinachokurudisha nyuma ni pale unapotaka kubadilisha mambo ambayo uliharibu. Njia pekee ya ku…
-
July 7, 2018
JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA NA KUFIKIA UHURU WA KIFEDHA
SEMINA JANUARY 2017 SIKU YA KWANZA JINSI YA KUEPUKA MADENI MABAYA Haijalishi upo kwenye madeni makubwa kiasi gani bado una nafasi ya kutoka na kuanza safari…
-
June 23, 2018
KANUNI YA 10× INAVYOWEZA KUKUFANIKISHA KWENYE MAONO YAKO.
Unafahamu pamoja na kuwajua watu wengi sana katika Maisha yako kuna watu angalau 10 tu ambao wanaweza kuwa tayari kukuinua pale unapokuwa umeanguka chini? Mtu wa…
-
June 22, 2018
Unazijenga Tabia Kisha Tabia Zinakujenga.
Nakumbuka nimewahi kuandika mahali kwamba “Maisha yako Ni Tabia Zako” yaani vile unavyoishi kila siku ni mkusanyiko wa tabia ambazo umezitengeneza. Ni rahisi sana kutengeneza…
-
May 26, 2018
HII NDIO NJIA YA PEKEE YA KUISHI MILELE.
Kungekuwa hakunaga kufa kwa namna ninavyoona wanadamu hasa wa Africa wangekuwa wavivu sana kuliko viumbe wengine wote. Nadhani kungekuwa hakuna ambaye anajishughulisha sana kw…
-
May 17, 2018
JAMBO HILI PEKEE NDIO LITAWAFANYA WATU WAULIZANE.
Inawezekana kwenye uko wenu familia yenu ndio mna hali duni kuliko wengine wote na hivyo kuonekana kama mnawategemea wale ambao wamewazidi. Inawezekana umefeli masomo na hujaw…
-
May 5, 2018
Faida 5 za Kusoma Vitabu.
Ili uweze kuwa na mwili wenye afya bora lazima ule vyakula bora na kufanya mazoezi. Vilevile kwenye akili yako ni vyema ukapata maarifa ambayo yanakufanya uwe…
-
May 5, 2018
MAMBO 5 YANAYOKWAMISHA WATU WENGI.
Habari Rafiki, leo tena tunakutana kwenye Makala yetu ya MBINU ZA MAFANIKIO. Tunaangalia mambo ambayo yamekuwa ni sababu ya watu wengi kukwama kimaisha. Ninaposema kukwama nam…
-
May 4, 2018
Neno moja Unalolihitaji ili Ufanikiwe
Najua unatamani kufanikiwa, sana. Kiasi kwamba ni kitu unachowaambia watu wengi kwenye maisha kwamba utafanya, kinachokufanya ufanye kazi kwa moyo wote, kinachokufanya ufikiri…
-
April 27, 2018
Aina 4 za Watu Katika Safari Ya Mafanikio.
Habari Rafiki, leo kwenye mbinu za mafanikio tunakwenda kuwaona watu aina nne tulionao katika safari ya mafanikio. Ni kweli watu wengi wamekuwa wanatamani sana kufikia mafanik…
-
April 17, 2018
MAMBO 6 YANAYOIBA FURAHA YAKO.
Jiunge na Mtandao Huu Uwe Unapokea makala nzuri kama hii moja kwa moja kwenye email yako Weka email Yako hapa Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema na…
