MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
December 9, 2018
410; Unastahili, Usiangalie Nje Yako.
Kuna nyakati unaweza kukutana na fursa mbele yako kabisa halafu ukapishana nayo kama vile hukuiona kwasababu unajiona hustahili. Kuna mambo makubwa yanaweza kujisogeza karibu…
-
December 7, 2018
409; Imani Yako Itakuponya au Itakuua.
Katika Biblia vitabu vya Injili tunamwona Bwana Yesu akitenda miujiza kwa kuwaponya vipofu, viwete,na wenye madhaifu ya aina mbalimbali. Siku moja mwanamke alietokwa na damu k…
-
December 6, 2018
408; Utaweza Kuvumilia?
Inawezekana unayatazama Maisha ya watu waliofanikiwa na kujikuta unatamani sana kuishi kama wao na kujiona wewe unaishi Maisha ambayo ni duni sana. Ukweli ni kwamba kuna…
-
December 3, 2018
407; Naomba Nikukumbushe tena Hili.
Yapo mambo ambayo ni msingi wa Maisha bora ya kila mwanadamu, kama ukiweza kuyafanyia kazi vizuri utaishi kwa furaha na amani hapa duniani siku zote. Ni…
-
December 3, 2018
406; Ni rahisi Sana Kuanza, Tabu Ipo Hapa.
Watu wamekuwa wanasema mwanzo ni mgumu ni kweli kuna baadhi ya mambo mwanzo ni mgumu. Ila bado kuna mambo ambayo ni rahisi sana kuanza ila kumaliza…
-
December 1, 2018
405; Sio Lazima Ufanane Nao
Furaha itakuja pale ambapo utaanza kuishi Maisha ambayo moyo wako unataka na sio vile ambavyo watu wanataka uishi. Furaha ya kweli ipo ndani yako na utaweza…
-
November 29, 2018
404; Ni Wachache Sana Wanaweza Kujibu Swali Hili.
Ukimuuliza mtu akutajie mambo 3 ya muhimu sana kwenye Maisha yake ni wachache wataweza kukujibu kwa usahihi nikiwa na maana kwamba walikuwa wanayajua kabla hujawauliza. Ni…
-
November 28, 2018
403; Maneno Yao Sio Uhalisia Wako.
Wanaweza Kusema yule jamaa alifeli shule hajaweza kufika hata chuo hawezi chochote. Wanaweza kusema yule dada kila mahusiano yamemshinda hawezi kutulia na mwanaume. Wanaweza k…
-
November 27, 2018
402; Mtu Huyu Anakudanganya.
Ulishawahi kutaka kukutana na mtu akakujibu kwamba hana muda? Umewahi kujiuliza ni kwanini anasema hana muda? Je kuna ukweli wowote pale anapokwambia hana muda? Wanadamu wote…
-
November 26, 2018
401; Kila Kitu Kilianza Kama Wazo.
Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwegu huu kila kitu kilianza kama wazo. Mungu alikaa akawaza kuleta uhai katika sayari ya dunia baada ya sayari hii kuwa…
-
November 18, 2018
Ni wewe Mwenyewe Umechagua 18/11/2018.
“Mwaka 2016 tulikuwa kwenye msiba wa jirani yetu ambaye alifiwa na mama yake. Siku hiyo watu walikuwa wanalia sana na kusikitika kwa kifo kile kilichotokea. Kitu…
-
November 9, 2018
VITU 5 UNAVYOPASWA KUVIFAHAMU ILI UWEZE KWENDA NA KASI YA MABADILIKO-9/11/2018
Tupo kwenye dunia ambayo kila kukicha kunakuwa na mabadiliko mapya katika sehemu mbalimbali hasa za kiteknolojia. Kama mwanadamu ukishindwa kwenda na kasi hii kuna mambo mengi…
