MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 2, 2017
MAMBO 20 UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KIJANA MWENYE UMRI KATI YA 20-30.
Habari rafiki na msomaji wa blogu hii. Jumapili yako imekwendaje? Leo tunakutana tena katika kona hii ya kujifunza. Nimekuandalia mambo 20 ambayo unapaswa kuyafahamu wewe kija…
-
July 24, 2017
MBINU ZITAKAZOKUWEZESHA KUMILIKI MAISHA YAKO.
Kama maisha yako yanategemea 90% kutoka kwenye ajira bosi wako ameyadhibiti maisha yako. Unaweza kukuta mtu unapitia vitendo vya unyanyasaji kazini, wakati mwingine huip…
-
July 16, 2017
UJUMBE WANGU KWAKO KIJANA MWENZANGU
Vijana ndio tegemeo kubwa katika sehemu mbalimbali za kijamii, kidini, n ahata pia kisiasa. Kwenye serikali tuna maaskari polisi wengi ambao ni vijana pamoja na wanajeshi.…
-
May 20, 2017
SIMAMIA UNACHOKIAMINI
Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiweke…
-
April 15, 2017
VITU MBALIMBALI VYA KUFANYA ILI UWE NA UHURU WA KIFEDHA
Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali…
-
March 16, 2017
Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira
Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha…
-
February 20, 2017
Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako
Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo dun…
-
February 18, 2017
Jinsi ya Kuchukua Hatua na Kuanza (How to Start).
Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha yangu kusikia kwamba unapiga hatua na kusonga mbele kila siku kwenye kile unachokifanya. Leo tunajifunza Jinsi ya…
-
February 16, 2017
NGUVU YA TAARIFA KATIKA MAONO NA NDOTO ZAKO.
Habari Rafiki, natumaini unaendelea vyema. Pole na majukumu mbalimbali ya kutimiza kile kinachokufanya uwepo hapa duniani. Leo tunakwenda kutazama Nguvu ya Taarifa Juu ya Ma…
-
September 27, 2016
Nguzo 10 za Mafanikio
Habari za Leo ni matumaini yangu u mzima na unaendelea vyema. Leo tuanajifunza nguzo 10 za mafanikio yako. Ukiweza kuzisimamia nguzo hizi lazima utaona mabadiliko na…
-
August 28, 2016
WEWE NI MSHINDI
Mshindi ni mtu alieshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kua umeshinda, kua hai leo ni ushindi, kuwa na Mungu mpaka sasa huo ni Ushindi, kuweza kujifunza…
-
May 10, 2016
Jinsi ya Kuishinda Tabia ya Kuahirisha mambo.
Tabia moja ambayo inawarudisha wengi nyuma ni tabia ya kuahirisha mambo. Na kuahirisha ipo karibia kila sehemu kuajiriwa, kujiajiri, mambo yako binafsi, karibia kila mahali ta…
