MAFANIKIO MAKUBWA
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 1, 2018
JINSI YA KUISHINDA TABIA YA KUISHIA NJIANI KWENYE MAISHA YAKO.
Tabia ya kufanya jambo kidogo kisha ukaona hakuna matokeo na ukakata tamaa na kwenda kukimbilia kufanya jambo jingine inaweza kuwa sababu ya wewe kutokutimiza chochote kwenye…
-
January 30, 2018
Huwezi Kumridhisha Kila Mtu Ila Unaweza Kufanya Hiki.
Tunaishi kwenye dunia ya watu wenye tabia za aina tofauti tofauti. Wengine wenye kukera, kuudhi, kukasirisha na kila aina ya ubaya. Wengine ni wapole wanaweza kusikiliza…
-
January 27, 2018
MAMBO 4 AMBAYO NI LAZIMA UKUTANE NAYO NJIANI KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKO.
Katika safari ya mafanikio unapoamua kujikana na kusema ni lazima ndoto yako itimie kuna mambo mengi utapitia kwenye Maisha. Zipo aina ya changamoto ambazo hujirudia kama…
-
January 18, 2018
Mafanikio Ni Kila Siku.
Maamuzi chanya madogo madogo unayofanya kila siku ndio yataamua aina ya Maisha utakayokuja kuishi miaka 5/10/20 ijayo. Fanya maamuzi sahihi, chukua hatua bila kukata tamaa. Ma…
-
January 14, 2018
UNATAKA ULINZI? JUA KITU HIKI CHA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO.
Mwaka 2004 ulikuwa ni mwaka ambao ungeweza kuwa sababu ya wewe kutokusoma hiki ninachokiandika leo wala kufahamu kama niliwahi kuwepo kwenye ramani ya dunia hii. Lakini…
-
January 6, 2018
Jifunze Kwa Mtoto
Kuna nyakati kwenye maisha tunapitia hali ambazo zinatulazimisha kufanya mambo tusiyohitaji ila ni kwasababu tunaisikiliza mili yetu. Sio kila hali ambayo unaisikia kwenye mwi…
-
December 27, 2017
JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUWA MSOMAJI WA VITABU KILA SIKU.
Habari za leo Rafiki yangu na msomaji wa mtandao wa USIISHIE NJIANI? Ni matumaini yangu kuwa bado hujaishia njiani kwenye safari yako ya mafanikio. Kila siku…
-
December 20, 2017
NILICHOJIFUNZA KWENYE MAISHA YA WENGINE MWAKA 2017. (SEHEMU YA 1)
Moja ya jukumu kubwa nililojipa kwa mwaka huu 2017 ilikuwa ni kujifunza kwenye Maisha yaw engine, na hapa ni kuona namna gani wanavyoendesha Maisha yao kuanzia…
-
December 18, 2017
USIRUDIE TENA AU USIJARIBU KOSA HILI MWAKA 2018
Katika Maisha tunakutana na watu ambao wanaweza kuwa baraka sana kwenye Maisha yetu hadi tukajisahau kwamba kuna siku wataondoka. Ninaposema kuondoka simaanishi kufa namaanish…
-
December 12, 2017
Mafanikio Yanakuhitaji Uwe hivi (Binti)
Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema. Leo napenda nizungumze na mabinti ambao wanataka mafanikio. Mafanikio katika mais…
-
December 11, 2017
SEHEMU 2 ZA KUZINGATIA WAKATI UNATAFUTA PESA KWA BIDII.
Habari za Leo Rafiki yangu. Natumaini unaendelea vyema na kupambana pamoja na kutafuta mafanikio kwa bidii. Leo ninapenda tuangalie sehemu mbili za kuzingatia wakati tunatafut…
-
December 5, 2017
HIKI NDIO KINAKUZUIA USIFANIKIWE
Habari za leo Rafiki na mwanamafanikio mwenzangu. Ni matumaini yangu bado unapambana na hujakata tamaa. Ni muhimu sana uendelee mbele usikubali kubaki hapo ulipofikia. Kila un…
