MBINU ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 17, 2017
Sifa 5 za Mtu Anaelekea Kwenye Mafanikio Makubwa.
Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na afya pamoja na safari hii ya mafanikio. Siku zote napenda kukwambia kamwe…
-
October 3, 2017
USITAZAME LEO
Leo vita ni vingi sana, Leo hakuna mavuno bado. Leo wanakusema wengi Leo inaonekana kama ni ngumu sana. Leo inaonekana kama utakwenda kushindwa. Leo inakatisha tamaa…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI.: Focus & Concentration
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umeshajifunza kitu chochote leo? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Mambo madogo madogo tunayofanya kila siku ndio yanatuletea ushindi mkubw…
-
October 2, 2017
#USIISHIE NJIANI: HAKUNA NJIA MOJA AMBAYO NI SAHIHI.
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Ukweli ambao unaweza kuwa hupendi kuusikia ni huu, hakuna njia moja ambayo ni sahihi ukiifanya lazima ufa…
-
October 2, 2017
HII NDIO TABIA ITAKAYOKUFANYA UWE MASIKINI SIKU ZOTE.
Habari za leo rafiki. Naamini umeanza siku yako vyema kabisa ili kuongeza hatua kuifikia ndoto yako. Vile unavyoanza siku yako ndio itakavyokuwa. Ukianza kwa kukasirika siku…
-
October 2, 2017
MAMBO 20 UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KIJANA MWENYE UMRI KATI YA 20-30.
Habari rafiki na msomaji wa blogu hii. Jumapili yako imekwendaje? Leo tunakutana tena katika kona hii ya kujifunza. Nimekuandalia mambo 20 ambayo unapaswa kuyafahamu wewe kija…
-
July 24, 2017
MBINU ZITAKAZOKUWEZESHA KUMILIKI MAISHA YAKO.
Kama maisha yako yanategemea 90% kutoka kwenye ajira bosi wako ameyadhibiti maisha yako. Unaweza kukuta mtu unapitia vitendo vya unyanyasaji kazini, wakati mwingine huip…
-
July 16, 2017
UJUMBE WANGU KWAKO KIJANA MWENZANGU
Vijana ndio tegemeo kubwa katika sehemu mbalimbali za kijamii, kidini, n ahata pia kisiasa. Kwenye serikali tuna maaskari polisi wengi ambao ni vijana pamoja na wanajeshi.…
-
May 20, 2017
SIMAMIA UNACHOKIAMINI
Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiweke…
-
April 15, 2017
VITU MBALIMBALI VYA KUFANYA ILI UWE NA UHURU WA KIFEDHA
Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali…
-
March 16, 2017
Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira
Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha…
-
February 20, 2017
Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako
Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo dun…
