MBINU ZA MAFANIKIO
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
February 20, 2018
Utakula matunda ya kinywa Chako.
Maneno yako yanajenga vitu kwenye maisha yako, hata kama hutaona matokeo yake kwa muda huu ipo siku yataonekana hata ikiwa umeshasahau. Ni vyema sana kujitazama sana…
-
February 18, 2018
JINSI YA KUGUSA MAISHA YA WENGINE NA KUFIKIA MAFANIKIO.
Habari rafiki, leo tunakwenda kuona njia za kugusa maisha ya wengine ili tuweze kufikia mafanikio ya kweli. Kwenye kila kitu ambacho Mungu ameweka ndani yako ni…
-
February 16, 2018
HUU NDIO UKWELI ULIKUWA HUUJUI JUU YA PESA.
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Wewe ni rafiki yangu wa muhimu sana kwakuwa ndie unanifanya niandike. Naandika ili usome unufaike na maisha yako…
-
February 5, 2018
Mambo Unayopaswa Kuyafanya Ukiwa Bado Kijana.
Kama kijana una nafasi kubwa sana ya kufanikiwa endapo utakuwa umejitambua mapema. Kutokana na namna jamii zetu zilizvyotulelea inakuwa ngumu sana mtu kutambua yeye ni nani.…
-
February 2, 2018
Usiwe na Tabia za Maji.
Maji hayana umbo wala rangi, ukiyaweka kwenye chombo chochote kile yatachukua rangi ya chombo na umbo la chombo. Ukiyamwaga chini yatachukua vilevile rangi ya pale uliyoyamwag…
-
February 1, 2018
JINSI YA KUISHINDA TABIA YA KUISHIA NJIANI KWENYE MAISHA YAKO.
Tabia ya kufanya jambo kidogo kisha ukaona hakuna matokeo na ukakata tamaa na kwenda kukimbilia kufanya jambo jingine inaweza kuwa sababu ya wewe kutokutimiza chochote kwenye…
-
January 30, 2018
Huwezi Kumridhisha Kila Mtu Ila Unaweza Kufanya Hiki.
Tunaishi kwenye dunia ya watu wenye tabia za aina tofauti tofauti. Wengine wenye kukera, kuudhi, kukasirisha na kila aina ya ubaya. Wengine ni wapole wanaweza kusikiliza…
-
January 27, 2018
MAMBO 4 AMBAYO NI LAZIMA UKUTANE NAYO NJIANI KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKO.
Katika safari ya mafanikio unapoamua kujikana na kusema ni lazima ndoto yako itimie kuna mambo mengi utapitia kwenye Maisha. Zipo aina ya changamoto ambazo hujirudia kama…
-
January 18, 2018
Mafanikio Ni Kila Siku.
Maamuzi chanya madogo madogo unayofanya kila siku ndio yataamua aina ya Maisha utakayokuja kuishi miaka 5/10/20 ijayo. Fanya maamuzi sahihi, chukua hatua bila kukata tamaa. Ma…
-
January 14, 2018
UNATAKA ULINZI? JUA KITU HIKI CHA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO.
Mwaka 2004 ulikuwa ni mwaka ambao ungeweza kuwa sababu ya wewe kutokusoma hiki ninachokiandika leo wala kufahamu kama niliwahi kuwepo kwenye ramani ya dunia hii. Lakini…
-
January 6, 2018
Jifunze Kwa Mtoto
Kuna nyakati kwenye maisha tunapitia hali ambazo zinatulazimisha kufanya mambo tusiyohitaji ila ni kwasababu tunaisikiliza mili yetu. Sio kila hali ambayo unaisikia kwenye mwi…
-
December 27, 2017
JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUWA MSOMAJI WA VITABU KILA SIKU.
Habari za leo Rafiki yangu na msomaji wa mtandao wa USIISHIE NJIANI? Ni matumaini yangu kuwa bado hujaishia njiani kwenye safari yako ya mafanikio. Kila siku…
