Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
April 12, 2016
FANYA HAYA USONGE MBELE KIBIASHARA
Unapohamia kwenye jengo jipya tunaweza kusema biashara yako imekua lakini ukweli halisi sio huo, biashara haikui kwa wewe kuhamia kwenye jengo kubwa au kubadili usafiri.…
-
April 11, 2016
Ifanye biashara yako iwe ya kiteknolojia.
Habari ndugu msomaji wetu ni wakati mwingine wa kupeana mbinu nzuri juu ya kuboresha biashara zetu kwa njia ya mtandao, leo tunaangalia jinsi ya kubadili biashra…
-
April 9, 2016
Tumia Mtandao wa internet kukuza biashara yako.
Habari ndugu msomaji na mjasiriamali, ni wakati mwingine tena katika mtandao huu wa MoJa Group tunapokuletea Makala za mafunzo juu ya kutumia mtandao wa internet uweze…
-
August 31, 2015
Hatuna usalama
Sitaacha kuirudia kila wakati hii sana… Tunatafuta pesa kwa bidii sana, tunatengeza na kugundua vitu vizuri sana ili tuache alama duniani lakini tunasahau kutengeneza wa…
-
June 22, 2015
Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita
Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita Tangaza msamaha Tangaza msamaha kwa waliokutendea mabaya yeyote kwenye maisha yako.Ulitelekezwa ukiwa mtoto mdogo tangaza msamaha l…
-
June 21, 2015
Maisha ni mafupi sana:
Habari za leo ndugu msomaji wetu leo tunaendelea na makala zetu karibu sana na samahani kwa kutokuwekwa kwa makala kwa siku kadhaa. Maisha ni mafupi sana…
-
June 21, 2015
Mambo ya muhimu yanayokurudisha nyuma kwenye kutimiza ndoto zako;
Mambo ya muhimu yanayokurudisha nyuma kwenye kutimiza ndoto zako; 1. Watu unaoambatana nao.(Marafiki) Watu unaoambatana nao ni sababu kubwa…
-
June 8, 2015
Kula kiapo cha kutimiza ndoto zako (2)
Habari za leo ndugu msomaji wetu karibu sana tena leo kwa kujifunza pamoja leo tunajifunza jinsi ya kufnya ili uweze kuzitimiza ndoto zako kuna vitu vya…
-
June 6, 2015
Kwanini mafanikio ni lazima kwako?
Habari za leo msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema na harakati za kutafuta mafanikio. Leo tunakwenda kujifunza sababu za muhimu wewe kufanikiwa.karibu sana tujifun…
-
June 5, 2015
Iko wapi ndoto yako? Soma zaidi hapa…
Habari mpenzi msomaji wa makala zetu. Ni uhakika wangu kuwa uko vizuri kabisa. Hata mimi pia hadi wakati huu ninapoandika makala niko njema kabisa. Hili ni…
-
June 2, 2015
Duniani kuna vitu vingi huwezi kuvipata vyote huwezi kuvijua vyote ufanyeje? Soma hapa….
Habari ya leo ndugu msomaji wetu. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na maishz yenu. Karibu tena leo kwa kujifunza pamoja. Kwani mafanikio yetu ni mafanikio yako.…
-
May 30, 2015
Kuwa wa Kipekee maana wewe ni wa Pekee
Habari ya leo ndugu msomaji wetu mzuri ni matumaini yetu kuwa unaendelea vyema na maisha yako. Karibu tuanze week end kwa kujifunza pamoja. Kuwa wa kipekee…
