Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
June 8, 2016
#SiriYaKuaHaiLeo: 2.Upo hai ili kubariki wengine.
Upo hai leo ili ubariki wengine usikubali kua mtu wa makwazo juu ya wengine. Usikubali kua mkosoaji kwa kila kitu mtu anachokifanya bali jaribu kua mshauri…
-
June 4, 2016
#SiriZaKuaHaiLeo:1. Ni nafasi ya kubadilisha.
Ni nafasi nyingine ya kutubia makosa yako. Ni nafasi nyingine ya kufanya upya kwa umakini pale ulipokosea jana. Ni nafasi nyingine ya kufanya uchaguzi upya. Yako…
-
May 30, 2016
Walioshindwa.
Walioshindwa jambo na wakaliacha kabisa bila kurudia au kujua kwamba wao wanahusika vipi katika kushindwa kule, wana maelezo ya kutosha kukushawishi na wewe kwa nini utashindw…
-
May 28, 2016
Kijana una Fursa za kipekee sana. Muda, Nguvu, na Uwezo wa kufikiri.
Habari za leo ndugu msomaji wa makala hizi. Jana nimepokea ujumbe kutoka kwa rafiki yetu ambaye hua anasoma makala hizi kila siku. Akaniomba niandike kuhusu vijana.…
-
May 27, 2016
Upo hai ili kulitimiza Kusudi.
Kusudi ni nini?Kusudi ni ile sababu hasa ya kitu kuwepo. Bila Kusudi kuwepo kwa kitu hakuna maana. Kitu cha kwanza cha kutambua kwenye maisha yako ni…
-
May 26, 2016
UNAHITAJI WATU.
Mwandishi mmoja wa vitabu anaejulikana kwa jina la Zig Ziglar Alisema “To get what you want you must help enough people to get what they want”…
-
May 25, 2016
Pale unapohisi.
Pale unapojihisi kukata tamaa ndio sehemu hasa ya kuongeza bidii maana ni matokeo yanavyokwenda kuonekana. Pale unapojihisi kuchoka ndio wakati wa kuinuka tena kwani vita ndio…
-
May 24, 2016
Tabia za watu wenye Mafanikio.
Tabia ni vile vitendo ambavyo tunavifanya mara kwa mara bila kuacha. Tabia ni vitu ambavyo vimejengeka ndani yetu, kama unavyoweza kuamka na kuswaki kila siku asubuhi…
-
May 23, 2016
Nguvu ya Ulimi.
Wanasema Ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kinaweza kufanya mambo makubwa. Ulimi unaweza kuvunja ndoa yako. Ulimi unaweza kukukosanisha na ndugu jamaa na marafiki. Ulimi unaw…
-
May 22, 2016
Una kitu kikubwa sana ndani yako.
Una uwezo mkubwa sana ndani yako, haijalishi upo kwenye haali gani sasa hivi. Una uwezo wa kufanya mambo makubwa sana, haijalishi huna nini sasa hivi. Una…
-
May 20, 2016
Wafanyie wengine yale unayopenda kufanyiwa.
Kwenye maisha tuna watu wa aina mbalimbali na wenye tabia tofauti tofauti. Ukiweza kukaa na watu unaweza kujifunza mambo mengi sana kwenye maisha wanayoyaishi. Nimekutana na…
-
May 19, 2016
Hatua za kuchukua kila siku ili kufikia ndoto na malengo yako.
Tumejifunza kuhusu mafanikio na utajiri lakini hivi havitatokea kama huna vitu ambavyo unavifanya kila siku vinavyokuvuta kwenye mafanikio na utajiri. Leo tunakwend kuangalia…
