Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Makosa 3 Unayofanya na Yataua Biashara yako.
Leo kwenye kona ya biashara tunaangalia makossa matatu ambayo unafanya na yataua biashara yako siku si nyingi. Kama kawaida ni mambo madogo sana ambayo yanaweza kusababisha…
-
October 2, 2017
LEO NDIO SIKU PEKEE UNAYOWEZA KUITUMIA.
Habari rafiki yangu. Umeanzaje wiki yako? Hakuna mtu mwenye siku Zaidi ya moja yaani wote tunaishi kwa siku moja ambayo imebeba masaa 24. Kwa wanoweza kuitumia…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Hakuna Uhakika 100%.
Katika mambo tunayofanya kila siku kwenye Maisha yetu pamoja na kuwa na imani kubwa, hamasa na matarajio makubwa hakuna mwenye uhakika asilimia mia moja kwamba mambo…
-
October 2, 2017
SEHEMU 4 UNAZOTAKIWA UWE BORA KILA SIKU ILI UISHI KWA FURAHA.
Mojawapo ya sehemu ambayo utakosea ni kusahau sehemu hizi nne za muhimu kwenye maisha yako ambazo unatakiwa uwe bora kila siku. Unajua ili uweze kuwa na…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Ongezeka Wewe Kwanza.
Kwenye biashara nyingi unaweza kukutana na watu wanalalamika biashara zao hazikui, hakuna kinachoongezeka hali ni ile kwa muda mrefu. Ukija kuchunguza Zaidi unakutana na shida…
-
October 2, 2017
JINSI YA KUISHI LEO YENYE MAFANIKIO
Iwapo ukiambiwa kesho ndio itakuwa ni siku yako ya mwisho hapa duniani unafikiri ni vitu gani hasa ungevifanya leo? Embu viandike vitu hivyo basi uwe unavifanya…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Neno Samahani Linavyombakisha Mteja.
Kinachofanya ubaki kwenye soko sio jina lako kubwa ulilonalo, sio bidhaa yako nzuri peke yake. Kuna vitu vya ziada lazima ufanye ili uendelee kubaki. Bahati mbaya…
-
October 2, 2017
HII NDIO TABIA ITAKAYOKUFANYA UWE MASIKINI SIKU ZOTE.
Habari za leo rafiki. Naamini umeanza siku yako vyema kabisa ili kuongeza hatua kuifikia ndoto yako. Vile unavyoanza siku yako ndio itakavyokuwa. Ukianza kwa kukasirika siku…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Kama Una Tabia Hizi Usishangae Kwanini Hukui kibiashara.
Zipo Sababu nyingi za kushindwa kwa biashara mbalimbali lakini hizi ni mojawapo ya vyanzo vinavyofanya watu washindwe. Kama unataka kuwa na mafanikio tengeneza tabia njema amb…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Biashara ni Zaidi ya Kuuza.
Unapowaza kuuza pekee kwenye biashara unakosa vitu vingine vya muhimu sana. Biashara ni kutatua matatizo ya wengine. Biashara ni kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora Zaidi…
-
October 2, 2017
KONA YA BIASHARA: Ukuaji ni Hatua Kwa Hatua.
Shida kubwa haipo kwenye biashara mara nyingi shida kubwa ipo ndani yako. Unajua kwanini nasema hivyo? Kama biashara unayoifanya wewe kuna mwingine anaifanya vizuri kuliko wew…
-
October 2, 2017
MAMBO 20 UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KIJANA MWENYE UMRI KATI YA 20-30.
Habari rafiki na msomaji wa blogu hii. Jumapili yako imekwendaje? Leo tunakutana tena katika kona hii ya kujifunza. Nimekuandalia mambo 20 ambayo unapaswa kuyafahamu wewe kija…
