Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: Wewe Sio Mti.
Mti unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayasababishi mti usitawi unakuwa hauna namna yeyote ya kubadilisha mazingira yale ili uendelee kukua. Mara nyingi kinachotokea baada ya…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI- Jawabu la Unachokitaka ni Hili hapa.
Penda kujipa muda wa kusubiri matokeo unayoyataka wakati unayafanyia kazi. Bahati mbaya hatuna kipimo maalumu cha muda ili uwe na uhakika wa unachokisubiria. Kama mwanamke ame…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI- Kujionyesha na Uhalisia.
Haina maana yeyote kama watu watajenga picha kubwa kwako kutokana na namna unavyopenda kujionyesha halafu uhalisia ukawa ni tofauti kabisa. Ni vizuri sana ukaishi vile unavyop…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: UTAONDOKA PEKE YAKO.
Habari rafiki. Kitu ambacho hupaswi kukisahau ni kwamba hapa duniani ipo siku utaondoka. Na kitu cha kukumbuka Zaidi ni kwamba utaondoka peke yako. Wale wote uliokuwa…
-
October 3, 2017
#USIISHIE_NJIANI: JIPE MUDA.
Habari Rafiki. Chochote unachokifanya sasa hivi kabla hujaanza kukata tamaa hakikisha umejipa muda wa kutosha. Jipe muda ambao utafanya kazi kwa bidi, utajenga mtandao mkubwa…
-
October 2, 2017
USIISHIE NJIANI: USIJIDANGANYE.
Habari rafik Mfano unajua kabisa yale ambayo unayafanya hayawezi kukuletea matokeo ya tofauti kwasababu ni yaleyale, njia ni zilezile, halafu unajitia moyo kwamba ipo siku uta…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: HOFU YA KUTOKUJUA.
Habari rafiki, siku yako umeanzaje. Siku zote mtu anakosa ujasiri hasa pale anapokuwa na taarifa chache kwenye kile anachokifanya. Mfano unaweza kuogopa kuanza biashara kwasab…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: ANZA KUONA NDANI YAKO.
Habari rafiki yangu, Siku yako umeanzaj Hakuna kitu utakachokipata kama hujaanza kukiona ndani yako. vitu vyote vinavyotokea nje lazima vinaanzia ndani. Ukiwa na mawazo ya kup…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA.
Habari rafiki, umeanzaje siku yako. Leo ni siku yetu mpya kwa ajili ya uzalishaji. Kuna watu wana tabia za kuacha kufanya mambo yao, hawaweki mipango yeyote…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI: Tarajia Makubwa
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Kile unachokitarajia ndio kinatokea kwenye Maisha yako. hii ni sharia ya asili ambayo inaongoza maisah ye…
-
October 2, 2017
#USIISHIE_NJIANI.: Focus & Concentration
Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umeshajifunza kitu chochote leo? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Mambo madogo madogo tunayofanya kila siku ndio yanatuletea ushindi mkubw…
-
October 2, 2017
USIISHIE NJIANI: Siri Ya Mafanikio (Hakuna Mwendokasi)
Kitu chochote kinachopatikana haraka hasa kitu kikubwa sana mara nyingi yule anaekipata hushindwa kukihimili. Hasa tukiangalia upande wa fedha na utajiri tunaweza kuwa na mifa…
