Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
November 29, 2017
SIFA 5 ZA WATU WA KUFANYA NAO KAZI KAMA TIMU BORA YA MAFANIKIO NA USHINDI.
Mojawapo ya changamoto kubwa wanayopitia wengi sana ni kukosa timu ambayo inaweza kuwa sababu ya wao kufikia mafanikio makubwa. Kuna usemi unasema kama ndoto zako, maono…
-
November 27, 2017
HATUA YA 282: Hii Ndio Siri Iliyopo Ndani ya Woga.
Kama kuna jambo umekuwa unaliogopa sana kulifanya katika Nyanja ya mafanikio hiyo ni ishara ya kwanza kabisa kuonyesha kwamba jambo hilo litaleta matokeo makubwa kwenye Maisha…
-
November 24, 2017
HATUA YA 281: Kuna Mtu Anakuamini?
Kama utaishi hapa duniani halafu ukakosa watu ambao watakuamini utaishi Maisha magumu sana. Hii ni kwasababu kuna baadhi ya mambo unapoyafanya lazima uwe una watu wanaokuamini…
-
November 22, 2017
MAKOSA 7 YATAKAYOFANYA UPOTEZE KILA UNACHOKITAFUTA
Habari za leo mpendwa Rafiki msomaji, ni matumaini yangu unaendelea vyema sana na majukumu yako kila siku. Leo katika kipengele cha mafanikio tunakwenda kuangalia mambo ambayo…
-
November 21, 2017
HATUA YA 280: Watu Wengi Wamekosa Kitu Hiki ndio Maana Hawafiki Popote.
Kuna msemo mmoja wa wahenga unasema “mazoea hujenga tabia” ni kweli lile jambo ambalo umezoea kulifanya mara kwa mara linakuwa tabia yako. Lakini kitu cha kushangaza…
-
November 21, 2017
KONA YA BIASHARA: JINSI YA KUPATA MTAJI NA KUANZA BIASHARA YAKO
Kuna mambo machache unatakiwa ujiulize Je eti ni kweli mwaka ujao utakuwa mpya kwako au ni zile kelele tu na hamasa? Una kitu gani unakitegemea kukipata…
-
November 21, 2017
KINACHOWATOFAUTISHA MATAJIRI NA MASKINI NI HIKI.
Ili uweze kutoka hapo ulipo sasa na kufika sehemu nyingine walipo watu wenye mafanikio makubwa ni muhimu sana kujua ni kitu gani kinawafanya muwe tofauti. Ni…
-
November 20, 2017
HATUA YA 279: Ni Ushindi Mdogo, Mdogo.
Kwa kawaida hakuna kitu kimoja unachoweza kufanya kikakufikisha kule unakotaka moja kwa moja. Hapa nikiwa na maana ya kwamba ukitaka kuvuna mahindi gunia mia unatakiwa upande…
-
November 18, 2017
HATUA YA 278: Jiulize Swali Hili Kama Hujajua cha Kufanya.
Inawezekana umefika sehemu unaona kwamba haiwezekani kabisa. Umeanza kuona hali uliyonayo ndio ulitakiwa hivyo. Wakati mwingine umeshaanza na kusema kwamba wewe ulizaliwa uwe…
-
November 15, 2017
HATUA YA 277: Nenda Zaidi ya Uwezo Wako.
Kuna nyakati ili upate matokeo Zaidi ya unayopata sasa hivi utapaswa kufanya vitu ambavyo hujawahi kufanya, utatakiwa kuongea na watu ambao hujawahi au hujazoea kuongea nao.…
-
November 14, 2017
HATUA YA 276: Umejitoa Kwenye Nini?
Umejitoa kwenye nini? Vitu gani unafanya kila siku na unatarajia kufikia makubwa miaka michache ijayo? Malengo yako yanahusu nini Zaidi? Vipaumbele vyako vimegusa kwa vile vit…
-
November 13, 2017
HATUA YA 275: Kuna Tumaini.
Pamoja na mambo magumu unayopitia kwenye maisha yako kukataliwa, kuachwa, kusemwa vibaya tambua kwamba bado lipo Tumaini. Unapoona giza limeongezeka ujue kunakaribia kuwa asub…
