Makala
Makala fupi za kila siku kuhusu maisha, hekima, mahusiano na biashara.
- Zote
- HATUA ZA MAFANIKIO
- USIISHIE NJIANI
- MBINU ZA MAFANIKIO
- MAFANIKIO MAKUBWA
- MAISHA NA MAHUSIANO
- AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI
- KONA YA BIASHARA
- BIASHARA NA UJASIRIAMALI
-
January 2, 2018
Msamiati Huu Unatakiwa Uufute Kichwani Ili uweze Kutoka.
Kuna wimbo ambao umekuwa unaimbwa na watu wengi sana hasa linapokuja swali ni kwanini hujaweza kuanza biashara au kile ambacho unataka kufanya. Wimbo huu umekuwa ndio…
-
January 1, 2018
Ni Nini CHanzo cha Ndoto Zako?
Heri ya Mwaka Mpya Rafiki, Wakati tumeanza leo mwaka mpya napenda ujiulize swali moja la muhimu sana. Je ni nini chanzo cha ndoto zako? Unafahamu ndoto…
-
January 1, 2018
HATUA YA 290: Heri Ya Mwaka Mpya
Habari Rafiki yangu mfuatiliaji wa Makala hizi za HATUA. Kila mmoja anayofuraha na jambo la kusema asante kwa Mungu alietupa uzima na tumeweza tena kuona mwaka…
-
December 31, 2017
WEWE NI NYOTA.
“Wewe ni nyota popote pale ulipo hakikisha unang’ara” Jacob Mushi 2018. Mwaka huu haijalishi upo sehemu gani unafanya kazi ya aina gani bado unahitajika kuonyesha kile…
-
December 30, 2017
HATUA YA 289: Shughulika na Hiki 2018
Mara nyingi tumekuwa tunapambana na mambo ambayo hayaondoi matatizo yetu bali yanayapooza tu na kisha baada ya muda hujirudia. Kama kuna sehemu inavuja kwenye nyumba yako…
-
December 30, 2017
Unapanda Mbegu Gani?
Maneno yetu tunayosema mbele za watu ni mbegu, ipo siku yataleta matokeo. Vile unavyozungumza mbele za watu ndivyo watu wanatafsiri kuwa uko hivyo. Kama maneno ni…
-
December 29, 2017
Subiri lakini Jiandae..
Unatakiwa kuwa na subira ili wakati wa kufanikiwa kwako huku ukijiandaa kupokea yale mafanikio yako. Umejiandaa kwa kiasi gani? Uko tayari kubeba kiwango gani? Makwazo na…
-
December 27, 2017
Hii Ndio Dhambi Mpya Hutakiwi Kuitenda Mwaka 2018.
Wakati tumebakiwa na siku tatu pekee tufikie mwaka mpya 2018 nimeona nikueleze juu ya dhambi hii mpya ambayo unatakiwa usiitende kabisa kwenye Maisha yako kuanzia mwaka…
-
December 27, 2017
HATUA YA 288: Upo Tayari?
Unachokifanya sasa hivi kama kinatoka ndani ya moyo wako upo tayari kukifanya hadi unakufa hata kama hutapata chochote? Hili limekuwa ni swali moja gumu sana kujua…
-
December 27, 2017
JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUWA MSOMAJI WA VITABU KILA SIKU.
Habari za leo Rafiki yangu na msomaji wa mtandao wa USIISHIE NJIANI? Ni matumaini yangu kuwa bado hujaishia njiani kwenye safari yako ya mafanikio. Kila siku…
-
December 26, 2017
HAPA NDIPO UNAKOSEA KUHUSU JANA YAKO.
Habari Rafiki, karibu kwenye somo letu la leo ndani ya mtandao huu. Kuna kitu unakwenda kujifunza leo kwenye mtandao huu. Unajua siku ikishapita imepita lakini kuna…
-
December 25, 2017
TUNAKUTAKIA SIKU KUU NJEMA na UJUMBE MAALUMU KWAKO.
Habari za leo Rafiki yetu mpendwa. Ni matumaini yangu kwamba umeanza vyema siku kuu yak o leo. Sisi kwa pamoja kama uongozi wa USIISHIE NJIANI tunakutakia…
